SASASA HIVI KUNA TABIA HZI MPYA ZA WAPENZI ZINAZOZOJITOKEZA PALE UNAPOFULIA AU UNAPOKUWA HUNA HELA - EDUSPORTSTZ

Latest

SASASA HIVI KUNA TABIA HZI MPYA ZA WAPENZI ZINAZOZOJITOKEZA PALE UNAPOFULIA AU UNAPOKUWA HUNA HELA

*Kwenye mapenzi inafurahisha unapokuwa na mpenzi ambaye ukiwa nacho yupo na wewe na ukikosa pia yuko na wewe. Inauma na inachoma kama pasi ukiwa na mpenzi ambaye ukiwa nacho yupo na wewe ukikosa hayupo nawe, sasa hawa wa hivi wamegawanyika mara mbili,*
*🛑wapo ambao ukikosa kitu anasepa kabisa kimwili, anaondoka mzima mzima*
*🛑wapo ambao ukichacha anakuwa na wewe kimwili ila kihisia hayupo kabisa. Hawa ndio wale ambao ukichacha unaanza kuona vijihasira vyake vinazidi, vidharau kibao, mnatofautiana hata kwenye mambo madogo, hakusikilizi bali anafanya makusudi vijimambo anavyojua vitakukera. Basi ukiona hivi ujue kiwiliwili chake kipo ila mtu kashahama sikunyingi, huyu wa pili ni mbaya kuliko nyoka aina ya kifutu.*




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz