💛hii inatuhusu wanawake wakiislam tuliokua ktk ndoa.💛
💚💚Usione kumtwii mume wako kua ni kero bali ni maharimsho ya Allah na ni pepo yako
💙💙Usijaribu kujitokea nje bila ya kuomba ruhusa kwa mume wako
💛💛Usitowe chochote ndani ya nyumba ima kumpa mtu au kupeleka kwenu bila idhini ya mume wako
💙💙Usipendelee kualika watu kuja nyumban kwako bila kumshauri mume wako
💚💚Usimkaribishe mtu haswaaa wanaume kujiingilia ndani bila ruhusa ya mume wako utakuja juta hata shemeji yako ana mipaka yake.
💙💙Siri zako mpe mume wako na sio kuzitoa nje utakua ni khaini inaweza kukupelekea kuvunja ndoa yako au utaleta utata katika ndoa yako.
💛💛Mdomo na ulimi wako usiuchonge ukawa mrefu kwa mume wako ,daima uwe laini kwa mazungumzo na mume wako daima utajionea raha za ajabu ukifanya hilo kwani ulimi pia unaweza kukupelekea ukaivunja ndoa yako km Huna kauli nzur pind unaopoongea na mumeo
💚💚Kua mpole wakati mume wako yuko juu ima amesirika ama anafoka ili umteremshe hasira zake kwani naww ukipandisha hasira zako hapo sheitwan yupo krb sana inaweza kukupelekea kuivunja ndoa yenu tahadhar sana kwa hilo
💙💙Jiweke nadhifu kimwili, kimavazi, kwani wanaume walio wengi hupenda sana kuoa mke yuko msafi kimwili na kimavazi ,wanaume wengne hawapendi uchafu jitahidi
💛💛Punguza sana maneno mengi kwa mumeo wako Jua hilo utakua mmojawapo wa mke mwenye kero /gubu, maneno c mazuri upunguza upendo
💚💚Hakikisha kila siku chumban kwako /kitandani kwako kunamuonekano mpya ,mume akiingia chumba apendezwa na chumban mwenu na kitanda mlaliacho ,hapo mapenzi hujengeka kwake juu yako ,,wanaume wengne hawapendi uchafu Jitahid kwahilo chumba kiwe smat
💙💙Vitu vitatu Hakikisha unaviweka mvuto wa kila siku, macho yako ima kwa kuyapaka wanja, jicho likiwa na wanja linavutia, ukimuangalia mumeo inapendeza, na mdomo wako Hakikisha uko safi ima kwa kupiga mswaki, na miguu yako uko kwenye nyayo zako Chunga zisiwe kama msumeno na mengneyo unayoyaona ni mvuto kwa mume wako
💛💛Jengo kila mbinu za kumfurahisha mume wako akuone hakuna mke kama Wewe na upunguze malalaniko yasiyo na msingi kwa mume wako
💚💚Jichunge sana kupeleka mashtaka yako mara kwa mara kwenu ila likiwa kubwa hakuna budi wazee walijue, lakn mambo madogo madogo maliza, mwenywe
💙💙Makosa yaliyopita Usipendelee kuyarudia rudia au kuyatajataja mbele ya mume wako ujue warudisha hasira nyumbani kwako yaliyopita yamepita
💚💚Kwa leo Tuishie hapa tujitahid kuyafanya kazi kwa Pamoja tunaweza kupigania ndoa zetu inshaAllah.
#Dumisha Ndoa Yako
Post a Comment