Ni kweli mwanamke akipenda anapenda kweli ila sasa jaribu kumchukulia poa wakati wote uone matokeo yake. - EDUSPORTSTZ

Latest

Ni kweli mwanamke akipenda anapenda kweli ila sasa jaribu kumchukulia poa wakati wote uone matokeo yake.

Ni kweli mwanamke akipenda anapenda kweli ila sasa jaribu kumchukulia poa wakati wote uone matokeo yake.
Hao hao wanaopenda kweli usidhani ni wajinga ukaendelea kumfanyia maovu. Anafaham vizuri thamani ya penzi lake na ndo maana maovu yako yakizidi utaona tuu anaondoka kwa vitendo na sio maneno.
Hapo utakuwa sio umempoteza tuu mtu bali umepoteza na upendo pia. Tambua upendo ni ngumu kuupata hivyo ukipendwa basi tulia na ishi kwenye misingi ya upendo ili muweze kudumu pamoja.
"




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz