JAMANI Ndoa sio tu kupanua mapaja na kujua staili za kitandani…Wewe mwanamke huna hata aibu unawaambia wenzako. “Jamani yaani mimi hamna kitu nachukia kama Kupika, kupiga deki na kufua doooh!! Yaani mi sipendi
kabisa na sitakaa nipende”…..halafu na huyu anaota kuolewa siku moja na kuwa mke wa mtu tena wa ndoa!!
SASA dadangu hivi unadhani huwa wanaume wanaoa ili kufaidi viuno vyako hivyo pekee, au huo mdomo wako mzuri!!...

Hapana unajidanganya, sio kila siku mwanaume ataitamani ngono, kwanza kaa ujue kuwa tendo la ndoa
ladha yake inawahi kuisha. Ni tendo la muda mfupi tu …….

Sasa wewe na akili zako timamu unatarajia mashuka uyachafue wewe na mumeo halafu umpe msichana
wa kazi afue!! Acha dharau bata wewe!!! Viuno ukate wewe mauchafu yako akayafue mwingine nyooo!!
Au unategemea kila siku mumeo ale chakula alichopika msichana wa kazi!!! Sidhani kama kuna mwanaume atakubali huu ujinga…

Mume ameamua kukuweka ndani kwa ajili ya mambo mengi sio hayo matako yako makubwa ama hayo
manyonyo yako mazuri…..hizo zinaweza kuwa sababu za ziada na wala sio sababu kuu!!!

**Kwa hiyo halahala usijidanganye na urembo wako, ukajifanya unajua sana kufuga makucha hutaki kufua,
hutaki kupika……na kudeki hutaki. Aisee kama una vigezo hivi futa ndoto ya kuwa mke wa mtu…bali jiandae kwa kuwa KIMADA a.k.a Nyumba ndogo….au kwa lugha
nyepesi jiandae kuwa JALALA LA SHAHAWA (Ashakum si matusi)……

Kama umekasirika....Fanya kama hujaisoma..
Post a Comment