My Brother!
Kama una mpenzi wako, mkaribishe nyumbani kwako, mnunulie kitu kidogo tu kitamu kama vile chocolate au popcorn.
Mnapokuwa mmekaa mnazungumza, mpatie zawadi hiyo uliyomnunulia.
Mwambie unahitaji kupiga nae selfie kisha akikubali gonga selfie za kutosha kwa mapozi tofauti kisha jirekodi video then mcheki zenu movie tena muwekee movie ya "WRONG TURN" ya mazombi au ya kuuwana full mapanga na risasi (wanawake wengi wanahuruma wakiwa wanaangalia hizo movie)
Mtazame kwa hisia ya mahaba kisha mkiss halafu movie inapoisha weka mziki acha maneno, muombe acheze nawe mziki kisha anapohisi joto mpe T-shirt yako ile kubwaaaaa avae.
Najua itakuwa kubwa kwake. Mcheke mpaka uone kachukia. Kisha mfate mkumbetie kwa sekunde kadhaa halafu umwambie 'nakupenda'
Atakapohitaji kuondoka, muache aondoke na T-shirt yako.
Unapokuwa njiani unamsindikiza mwambie kwa sauti ya upole na huruma "bby nitakumiss" kisha mkiss kwenye paji la uso zaidi ya Mara mbili alafu mkumbatie zaidi ya dk 1.
Kamwe hawezi kukucheat, atakumiss saaaaaaaaana!!!
Maelezo yooooote hayo sijazungumzia maswala ya kusex noop!! Ni kwamba wakati mwingine msichana anapenda kukaa nawe tu akuone, mcheze, mfurahi, mpike pamoja, mucheki movie pamoja in short she like to spend some time with you.
Post a Comment