Mwanaume njoo nikwambiešŸ¤¦šŸ¾‍♂

Mambo yaletayo nguvu katika tendo la ndoa|special: Wanandoa ...
Kwanza kabisa tambuwa Mwanamke wako ni Dada wa Mwanaume lakini pia kumbuka ni Binti ya Mwanaume mwenziošŸ’ŖšŸ½
Unapokuwa mbinafsi kwa kujiangalia wewe ili utimize adhima yako na umuache Mwanamke akisononeka na kukosa tumaini juu ya MAHUSIANO YENU unamkosea sana, Pamoja na kwamba unakuwa MKOSEFU kumbuka UNAMUUDHI MUNGU kudhurumu nafsi ya Bin adam ambaye hukuwahi kujua uumbwaji wake, Unajidai mjuaji kwa kuwa ushajua UNAPENDWAšŸ¤·šŸ½‍♂
Kila Bin adam anayo madhaifu yake na hata MUNGU alisema hakuna aliye mkamilifu, Kikubwa kitakachoweza kuwabeba WAPENZI ni kubebeana ili kuileta maana ya UPENDO tukiwa pamoja, Mungu awape HEKIMA WANAUME WOTE... Kuna Mwanaume aliyewahi kulala na Wanawake wazuri kama Selemani? Unadhani ni Kwanini Selemani aliomba HEKIMA?
Selemani aliomba HEKIMA kwa sababu kila Chenye kuipa burudani nafsi alikuwa nacho, Unadhani ulishawahi kuwa na Mwanamke mzuri mmoja kuliko wote unajidanganya, Unadhani utakuwa tajiri kushinda Selemani ili uitawale DUNIA? Gari lenyewe unaweka mafuta ya VIBABA je unaweza kufuga FARASIšŸŽ zizi zima?
Wenzio wanapesa na Bado wanajua umuhimu wa Mwanamke šŸ’ƒšŸ’ƒ
Hebu Mpende Mwanamke wako ujitengenezee WIGO WA BARAKAšŸ™
Pengine hujaambulia lolote kwa ujumbe huu ila nikwambie neno dogo MWANAMKE NI LULUšŸ”„


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post