MWANAUME NI NGUMU KUIJUA THAMANI YA MWANAMKE WAKE ILA WANAUME WENZIE NI RAHISI KUIJUA THAMANI YA MWANAMKE HUYOπŸ’― - EDUSPORTSTZ

Latest

MWANAUME NI NGUMU KUIJUA THAMANI YA MWANAMKE WAKE ILA WANAUME WENZIE NI RAHISI KUIJUA THAMANI YA MWANAMKE HUYOπŸ’―


Hiyo ndo maana halisi ya msemo wa wahenga;
• KWENYE MITI🌲 HAPANA WAJENZIπŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hilo ndilo tatizo kubwa kwa Wanaume ndo maana mpaka kesho nitasema MWANAUME HAJUI KWANINI ANAMSALITI MWANAMKE WAKE ila Mwanamke akiamua kusaliti anajua sababu ilompelekea kutoka nje ya NDOA yake.
Sababu ya Mwanaume kutojua SABABU INAYOMFANYA KUTOKA NJE YA NDOA ni pale anapoamua kumtamani Mwanamke Mwingine huku akijua Mkewe ni zaidi ya Mwanamke Mwingine πŸ˜‚πŸ˜‚
Ili Mwanaume ajue THAMANI YA MKEWE ni pamoja na kutomsalitiπŸ’―
Ukiona Mwanaume anakusaliti ujue THAMANI yako haijui japo huko nje wanaume wengine wanaijua THAMANI YAKO πŸ’ͺ🏼 japo na wao wakipewa nafasi hawataijua THAMANI YAKO πŸ˜‚πŸ˜‚ Maana hulka ya WANAUME NI MOJA KUTAMANI huku wao wakiamini ni UPENDO.
Hakuna utundu, wala majaaliwa yako etiiii yatatuliza TAMAA YA MUMEO ila ni yeye mwenyewe kuamua kupumzika kama sio kuacha πŸ˜‚πŸ˜‚
Muda Mwingine na UMRI nao ni chanzo cha utulivu wa Mwanaume maana wanaume waoga wa kukosa msaada pindi wanapozeekaπŸ‘¨πŸ»‍🦳
Kuliko kupambana na MICHEPUKO, KUHUDHURIA MAKONGAMANO YA WANAWAKE ILI KUPATA ELIMU YA KUMTULIZA MUME KABLA HAJACHOKA MWENYEWE ANZISHA UFUGAJI WA VIPEPEOπŸ¦‹ kwa sasa ni dealπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Maana ili Mwanaume aijue THAMANI YA MWANAMKE NI PINDI ANAPOKUWA ANAHITAJI ILE KITU INAMESAAAA MWENSIE πŸ‘™na kama ndo havutiwi nawe tena basi tenaaaaa ndo hesabu IMETOKAAAAπŸ˜‚
#




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz