MWANAUME! KUWA NA MWANAMKE HAIMAANISHI UNAHITAJI KUTUNZWA KAMA SAHANI KABATINI - EDUSPORTSTZ

Latest

MWANAUME! KUWA NA MWANAMKE HAIMAANISHI UNAHITAJI KUTUNZWA KAMA SAHANI KABATINI

Wanawake Tu - Wanawake Tu updated their profile picture. | Facebook
kuwa mwanamke haimaanishi kuwa unahitaji kutunzwa kama sahani iliyopo kabatini.
Na mtachelewa kuolewa au mtaumizwa kwa kigezo cha kusubiri mwanaume mwenye uwezo na sio upendo wa dhati*
*Leo mnauliza mtapataje wanaume wenye upendo wa dhati??
Si kwamba hamuwaoni ila Kuna shida kwenye kukubaliana na hali zao za maisha.
Mnafika mahali mnaamini kuwa upendo unaonyeshwa kwa pesa na ndio maana mwisho mnadaiwa ngono kabla ya ndoa !!
Na mnashindwa kukataa kwa sababu tayari mmekuwa watumwa wa pesa za hao wenye Nazo✍🏼




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz