MWANAUME ANASIKIA RAHA ZAIDI AKIKUTAZAMA KABLA HATA HUJAMPA NAFASI YA KUUTAZAMA UTUPU WAKO. - EDUSPORTSTZ

Latest

MWANAUME ANASIKIA RAHA ZAIDI AKIKUTAZAMA KABLA HATA HUJAMPA NAFASI YA KUUTAZAMA UTUPU WAKO.

wahuni_sio_Watu_wazuri Instagram posts (photos and videos ...

Mwanamke fahamu jambo hili litakulinda daima;
• MWANAUME ANASIKIA RAHA ZAIDI AKIKUTAZAMA KABLA HATA HUJAMPA NAFASI YA KUUTAZAMA UTUPU WAKO.
Mimi sijui kama ni TEMBEA YAKO ama ni vile UNAVUTIA😂😂
Inawezekana Mwanaume akakupenda zaidi hata kabla ya kumvulia nguo👙
Kuamini hilo ni wewe mwenyewe kujiuliza MWANAUME ALIKUPA AMANI WAKATI UPI KATI YA KABLA HUJAMVULIA NGUO AMA WAKATI UMEMVULIA NGUO😂😂
Japo najua udhaifu wa Mwanaume ndo maana naweza kukiri wazi MWANAMKE HUMPENDA MWANAMKE KABLA YA KULALA NAE💯 na akiisha kuwa amelala nae HUKINAI maana yawezekana hakuna jipya baada ya kupata lililo hitimisho ðŸ‘™
Muda Mwingine haya MAPENZI ni kama BAHATI unaweza kuwa huna wazo la kuingia penzini lakini akaja Mtu wa hisia zako ukajikuta UMEZAMAAAAA👌
Lakini usiyajaribu MAPENZI kwani yakiwa sio yako utapata taabu sana, Maana KIPENDA ROHO KULA NYAMA MBICHI ila nikwambie wazi ni hasara kubwa KUPENDA USIPOPENDWA😭😭




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz