Mwanamke stili mwili wako vizuri ili uwavutie wachimbaji sahihi waliotayari kufuata taratibu zote halali
1.wataonana na serikali yako kuu ( family yako)
2.kisha watasaini mkataba rasimi (harusi)
3. Wataanza kuchimba madini ( ndoa kamili)
Bila kusahau kulipa kodi ya uchimbaji ( Mahari), lakini kama utaiachia hazina yako ya DHAHABU , LULU na JOHARI waziwazi juu ya uso wa dunia , basi utawavutia wachimbaji haramu wengi ambao ni waongo ,wakwepa kodi na wakwepa mikataba halali wasiotaka ndoa kila mtu atajichukulia zana yake kisha kuchimba atakavyo yeye , tena bure kabisa na kuondoka zake

Mwanamke stili mwili wako we kama ni mzuri utabaki kuwa mzuri
Post a Comment