Mwanaume kwa sababu zake kwako anaweza kutumia AKILI, PESA NA MALI zake ili tu uwe Mwanamke wake, Swala la UPENDO WA MWANAUME KWA MWANAMKE linabakia kuwa kama FUMBO kwamba anaweza kukupenda baada ya wewe kumpenda ama anaweza kukupenda kwa sababu umemvutia ki MAHABA👌
Mwanaume anapokuja kwako USIMTARAJIE KATIKA UPENDO WA DHATI ila unaweza kumtarajia kwa UPENDO WA MATAMANIO KWA MAJAALIWA YAKO😂
Mwanamke fahamu wazi Mwanaume anapokuja kwako kwa kusema anahitaji nafasi uwe Mwanamke wake ujue VILE ULIVYO NJE NDIVYO ALIVYO VUTIWA NAWE japo anatarajia na radha yako ya ndani itafanana na urembo wako wa nje😋
Ndo Maana SPEED YA MWANAUME KUKUHITAJI HUKOMA PINDI UNAPOKUWA UMEMVULIA NGUO 👙BAADA YA KULINGANISHA MUONEKANO WAKO PAMOJA NA RADHA YAKO YA NDANI NA KUKOSA UHALISIA ALOUTARAJIA😂😂
Japo hutaweza kubaini kwa hakika NI NINI MWANAUME ANATAKA KWAKO ila unawajibika kukataa kuwa JARIBIO LA RADHA AITAKAYO kwani Mwanaume sahihi ni mwenye malengo ya MAISHA kwani hana mihemko zembe, ila Mwanaume mwenye papara ya NGONO ni mwingi wa ulaghai ili atimize haja yake💯
Ni heshima kwako Mwanamke ikiwa Mwanaume atakutamani kwa muonekano wako wa nje halafu akafurahia RADHA YAKO 👙kwani anaweza kubakia nawe.
Muda Mwingine RADHA YAKO INATOKANA NA MAUMBILE YA MWANAUME MWENYEWE japo wanaume wenyewe hawajui hilo😂😂
Ndo maana VITA VIKUU VYA WAPENZI NI MAUMBILE kwamba Mwanamke analalamika Mwanaume ana kibamia na Mwanaume analalamika Mwanamke ana 🥣😂
NAHITIMISHA;
• KUIJUA SIZE YA MAUMBILE YA MWENZA WAKO NI NJIA YA KUJIPIMA KAMA UTAKUWA SURUHISHO LA UTAMU WAKE💯
#Elista_kasema_ila_sio_sheria 🔨

Post a Comment