MTU ASIYE NA UPENDO WA DHATI HUJA KWENYE MAHUSIANO AMA NDOA KWA SABABU ZAKE UKIONA AMEDUMU NAWE HAJAKAMILISHA MALENGO NA YAKIKAMILIKA ATAONDOKA💯


UPENDO WA DHATI 💘 ni agano la MUNGU kwa Wana wa adam, kwa vyovyote vile kila Mmoja anawajibika kumpenda mwingine lakini pia nae anayo haki ya KUPENDWA.
Nazungumzia ule UPENDO usio na sababu wala kuangalia hitaji lako binafsi ila UJITOE BILA KUANGALIA GHARAMA YA UPENDO UNAO MPENDEA MWINGINE 💪
Ni bahati kuuona UPENDO WA DHATI 💘 hasa kwa sayari hii ambayo kila mtu analilia FURAHA YAKE BINAFSI 😭😭
Mwenye UPENDO WA DHATI 💘 huja kwa kuangalia usalama wa NAFSI yake wala hafikirii ni namna gani utalipa UPENDO ANAOKUPA💯
Muongo wa MAPENZI akiisha ona huendani na hitaji lake kwako lazima ajaribu kuyapindua MAPENZI ili aone mapokeo yako😂😂
Fanya roho ngumu msaidie kuyapindua ili akuondoke uendelee na maisha yako, amini safari yako baada yake ni nzuri ajabu Maana elimu uloipata kwake itakufanya KUJENGA UHUSIANO AMA NDOA IMARA💪
Kipi kitakusumbua Ikiwa ushajua UONGO NA UKWELI TOFAUTI YAKE NI IPI💯
Mwenye UPENDO WA DHATI 💘 ni muoga kupoteza akipendacho, Huyo ndiye wa kukupa hakika ya AMANI yako.
#Elista_kasema_ila_sio_Sheria 🔨
utamuzaidiapp


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post