MAPENZI::MASWALI 1O YA KIJINGA SANA AMBAYO WANAUME HUULIZA WAKATI WA KUFANYA MAPENZI,SOMA HAPA KIJANA NIKUJUZE.


Image may contain: 2 people, people smiling
Linapokuja swala la kujua mapenzi kitandani sio kwamba wanaume wote wanajua kufanya mapenzi vizuri.Hii ndio maana wanawake 100 wenye umri kati ya miaka 19 hadi 50 wanaelezea maswali ambayo huwa wanayaona kama ni ya kijinga sana basi nimekuandalia hapa baadhi ya maswali ya kijinga zaidi ambayo kila mwanamke aliyeulizwa alisema.
Kama mwanaume, unaweza ukafikiri kwamba uko vizuri sana na kwamba uko katika hali ya kuwa muwazi,lakini unaweza kushangazwa na kile ambacho mwanaume anaweza akakiuliza,na unaweza kushangazwa naye kwamba huyu mwanaume anataka nini hasa,kwamba anauliza swali kama hili anahitaji nini hasa kutoka kwangu.
1.SWALI LA 1::UMEPENDA MCHEZO WA LEO?
Kamwe usimuulize swali hili baada ya kumaliza kufanya mapenzi kama hajapenda hawezi kurudi tena jamaa yangu.
Kama atakuwa ameenjoy atakuambia tu.
2.SWALI LA 2::NIMEKUUMIZA?
Swali la kizembe sana kwa kweli,na mara nyingi wasichana huwa wanaficha hisia zao na wanatoa hisia zao kimafumbo ni kazi yako kufumbua fumbo hili kama umemuumiza au la.
3.SWALI LA 3::JE UNAFURAHIA TENDO?
Swali hili huulizwa na wakaka wengi sana,kama wewe ni msichana na ukiulizwa swali la kijinga kama hili na hutaki kumdanganya we piga kelele za mahaba atapata ujumbe tu.
4.SWALI LA 4::JE UNAPENDA KUFANYA STAIRI GANI?
Kila binadamu anastairi ambayo anapenda kuitumia wakati wa kufanya mapenzi,kama hujui unapenda kufanya mapenzi kwa kutumia stairi gani basi wewe bado hujajua mapenzi,kwa kifupi wewe bado ni mwanafunzi.Kama makak akikuuliza swali kama hili wewe mwambia mi sina stairi yoyote na ndiyo wasichana wengi wamekuwa wakiwajibu wakaka wasiowapenda kuwa "mi sina stairi nayoipenda",hii ina maana kwamba swali hili hawalipendi,lakini kama anakupenda kabisa,msichana atakuambia ni stairi gani anaipenda sana katika maisha yake ya kimapenzi.
5.SWALI LA 5::JE NIKIKUGUSA WAPI UNASIKIA RAHA?
Kila msichana anasehemu zake ambazo akiguswa zinamuamsha hisia kali na kwa taarifa yako zinatofautiana kutoka kwa msichana mmoja na mwingine,kwamba sehemu hiyo ukiigusa tu anapoteza fahamu zake za kujitambua .Hicho ndicho wakaka wanapenda kuuliza hiyo ni kazi yako kutafuta katika mwili wa msichana kama huwezi kutafuta mwenyewe ni bora ukalale tu kaka.

6.SWALI LA 6::JE UMEFIKA KILELENI?
Kila msichana hapa duniani ambaye yuko katika mapenzi amesha wahi kuulizwa hili swali,ili usimuumize mpenzi wako wewe mwambie kwamba nimekaribia kufika hata kama hutafika we endelea kumwambia nimekaribia mpaka pale mtakapo choka na kulala.
7.SWALI LA 7::JE BABA AKO NI NANI?
Jamani kuna wakaka wanaweza kukuuliza swali kama hili mpaka ukashangaa kabisa,anyway usimuulize swali kama hili mpenzi wako.
8.SWALI LA 8::JE MIMI NI MTAMU?
Sasa wewe unapokuwa unauliza swali kama hili,unataka kujifananisha na pipi au chocolate,wadada wengi kwa taarifa yako kama wewe ni mtamu atakuambia tu,na ukimuuliza kama wewe sio mtamu atakuambia tu.
9.SWALI LA 9::JE NIMEKURIDHISHA?
Kwa maoni yangu mimi,huwa tunafurahia chakula na ice cream wewe kama umemridhisha msichana si atarudi tena kwako na hata ukimuomba mapenzi tena atakuwa na haraka kukubali,atakuuliza tukutane wapi?Kwa hiyo jiamini tu.
10.SWALI LA 10::TUENDELEE AMA TUSIENDELEE?
Huhitaji kuuliza swali kama hili kama atataka kuendelea si atakuambia so we piga kimya na endelea na kazi yako mpaka utakapo choka wewe ila usiulize swali hili.


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post