MAPENZI YA KWELI HAYAWEZI KU EXPIRE DATE(KUISHA MUDA WAKE)BALI MAPENZI YA KWELI HUSITAWI KILA KUKICHA👉❤

Uzuri wa mwanamke ni nini? Sura au... - Uzuri Wa Mwanamke | Facebook
Mwanaume yoyote yule mwenye kutaka kuoa mwanamke asiye na mapungufu hapa duniani ataishi bachelor milele maana Wanawake wakamilifu hawapatikani popote duniani labda uende ukaoe malaika kule mbinguni😂😂😂😂ila wanawake bora wapo kila mahali katika dunia hii katika chini ya jua.
E bwana mwanamume hakuna mwanamke mkorofi ikiwa tu wew Mwanaume👇
**Utathamini maisha yake yote...
**Utaheshimu utu wake...
**Utailinda haiba yake...
**Utajali hisia za ndani na za nje wakati wote...
**Utampenda zaidi kuliko unavyojipenda wew😂😂...
Hapo utajua mwanamke nani kwani atakufanya wewe ndie namba moja wake na yuko tayari kufanya lolote ili tu mumewe uwe na amani na furaha wakati wote,mwanamke mwenye maumivu ya kuumizwa kila siku na mumewe huchukia kila kitu kinachohusu mahusiano yenu hata umnunulie gari na ghorofa kama hana furaha na maisha yako ni sawa na kupaka rangi nyumba ya udongo au ni sawa na kusubili treni kwenye uwanja wa ndege😕😃😃😃
Wanaume tambueni kuwa ukiona mwanamke wako amebadilika tabia ujue kuwa wewe ndo umemfanya abadilishe tabia yake kutokana na wew ulivyobadilika Tania yako🏃🏃
"MPENDE MKEO/MCHUMBA WAKO USIWE NA MAPENZI YA MAZOEA"


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post