🎙️🎙️🎬SOMO; MAMBO MATANO UYAZINGATIE
KABLA HUJAINGIA KWENYE NDOA🎙️🎙️
KABLA HUJAINGIA KWENYE NDOA🎙️🎙️
DARASA la Wanandoa
MWALIMU wa Wanandoa Pastor Richard
NIPO Morogoro veta Dakawa
Tumekuwa Tunaona Vijana wengi au watu wengi wanakimbilia Kuoa au Kuolewa Kwa Kuangalia ndoa kwa nie wanapoingia kwenye ndoa wanaanza kutamani wavunje ndoa Kijana Sikia Usikimbilie Kuoa Kama haya bado hujayadhibiti.
1;Hasira
Dhibiti Hasira ZaKo na ujifunze kusamehe Unakimbilia Kuolewa wakati bado Hasira hujaidhibiti ndoa Yako itakuwa na shida tu
Dhibiti Hasira ZaKo na ujifunze kusamehe Unakimbilia Kuolewa wakati bado Hasira hujaidhibiti ndoa Yako itakuwa na shida tu
Hasira haina shukurani inajua kuharibu tu.
2:UKOMAVU WA AKILI.
Ndoa inajengwa kwa AKILI sio Elimu Yako au Urembo au Sura au Mapishi Akili Yako inauwezo wa kutatua haraka na kumwelewa haraka Mwezako au Akili Yako bado ya kitoto haijui kutatua changamoto na kujicontro

Basi Tulia usioe au Kuolewa mpaka akili ikikomaa ikajua changamoto
3;ACHANA NA MAWASILIANO NA WAPENZI AU MARAFIKI WALIOKUWA WANAKUSUMBUA.(USIZINI)
Kijana unatakiwa dhibiti mawasiliano au ukaribu na urafiki na watu ambao unajua walikuwa wakikusumbua
Ikiwezekana badili laini uaze list Mpya ya namba usiingie kwenye ndoa bado unawasiliana au Unazini.
Acha zinaa na Usizini nakama huwezi kudhibiti hisia zako za kuzini ujue wewe Hupaswi uingie kwenye Sayari ya ndoa.
4;AGALIA UCHUMI WAKO.
Unatakiwa uweze kuendesha maisha Yako na ya Mwezako bila kutengemea mtu hapa ndipo ukomavu wa akili Huhitajika
Unatakiwa uweze kuendesha maisha Yako na ya Mwezako bila kutengemea mtu hapa ndipo ukomavu wa akili Huhitajika
Jiridhishe kuwa unaweza kumtuza mkeo na kutimiza mahitaji ya mwili na rohoni.
Unatakiwa umuongoze mkeo katika maadili ya kumjua Mungu
Futa na kuondoa maisha bila kwenda kanisani ongozana na mkeo nakuwa mfano kwa Wegine.
Imani Iwe Moja Ili msimpe nafasi ibilisi kuwapepes
5:Point ya mwisho: UAMINIFU
Kuwa mwaminifu na ujilinde mwenyewe na kujiongoza mwenyewe kwa Kutunza Siri ya Upendo wenu wewe na Mwezako Usieleze Siri ya Kumpenda Mwezako kwa watu.
Simamia msimamo wa kuwa Upo na Mwezako KILA mmoja Asimsaliti mwezake
Ukiweza kukontro haya ukiwa kabla HUJAINGIA kwenye ndoa mbona utafurahia Ndoa hutasikia nd
Post a Comment