MAHUSIANO HAYAWEZI KUFA AU KUIMARIKA KWA SABABU YA UMBALI AU UKARIBU.

MAHUSIANO
hayawezi kufa au kuimarika sababu ya umbali au ukaribu
Mtu anaweza kuwa mbali na akajitunza mpaka kukutana kwenu.
Lakin yule wa karibu bado mukaishi mtaa mmoja ila akaingia chumba cha jirani
Mtu anaweza kuwa mbali na bado mukagombana kwa simu hata kuachana na wengine bila hata ya kuonana
Kumbe kinacho imarisha mahusiano ni
Utayar.
Uvumilivu.
Mawasiliano ya Mara kwa Mara
Uaminifu
Maelewano.
Kuwa mbali au karibu nae bado lolote laweza tokea...
Hata akiwa mbali mpende tu
Akiwa karibu usimuamin asimilia zote kuwa hawez kusalit


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post