LITETEE PENZI LAKO LISIFE.........😢😢😢

UTAMUZAIDIAPP
Ikiwa ndio kwanza mwezi wa mapenzi mubashara hebu niwafunze jambo kidogo
😍😍 zimekuwepo kesi nyingi za kutoridhika kwa wanawake pindi wawapo katika tendo la ndoa na hii hutokana na wanaume wengi kufunga bao moja na wasirudie tena
Tambua tuu kuwa hali hii hutokea mwanaume kutotambua kama anakaribia kupizi(kumwaga) au wanasema point of no return na wengi huhisi raha isiyokifani hali inayomfanya ajiridhishe pekeake ikiwa mwanamke bado yu katika ngwe za mwanzo kabisa
👉🏾KWA WANAUME
jitahidi kumlidhisha mpenzi/mkeo kila ahitajipo tendo kwa kuwa kutoridhika kwake huweza kusababisha akusariti hata kwa siri ili tu naye aifurahie furaha ya kufikia kilele na kama unatatizo la kuwahi kufika hembu nikupe njia asilia kabisa ukiacha madawa #SASA wakati wa tendo ili uchele kufika na mfike sawa na mwandani wako yahamishe mawazo yako katika kile unacho kifanya yapereke katika jambo jingine linalo au liliwahi kukuumiza kichwa na lifikirie kiundani zaidi itakufanya akili kubwa kuwa katika mawazo kuliko hata unachofanya hali itayokufanya uchelewe kupizi na huenda muda huo mwanamke atakuwa sawia nawe asielewe kama ulikuwa katika mawazo zaidi atafurahi kufika kilele...
👉🏾jaribu kujitoa mara kadhaa ukihisi kupizi na endelea kumchezea mwandani wako kwa kumgusa zile sensitive organ pindi unapovutia kasi ubaridi unaokupunguzia joto nyevu la gundi mwilini mwako
👉🏾 badiri mikao kila mara ili kujipa pumziko
✍🏾KWA WANAWAKE
Tatizo hili limekuwa sio sana twaweza sema ni 10%\90% ila kwa wale wenye tatizo hili ndio mara nyingi utakuta wamekuwa wepesi wa kulalamika nimechoka #DADA wanaume hawana uvumilivu kama wanawake zaidi siku tatu mpaka tani asiporidhika atakutafutia mbaadala epuka kuvunja mahusiano/ndoa yako sasa
👉🏾fanya mazoezi
Kuiongeza pumzi yako kwa kufanya mazoezi kwa kukimbia kucheza micheo kama mpira,kuruka kamba n.K huenda pumzi yako ndogo kutokana na maisha tunayoishi sikuizi(kisister du/ maish mepesi)
👉🏾vipunguze vyakula vya mafuta mengi mwilini hivi hufanya mafuta kurundamana na kukufanaya ushindwe kupumua vyema hata linapokuja suala la mapenzi litalokufanya upumue juu juu litakufanya uone kero pindi utapo choka na kukufanya usitamani kuendelea..
#KUMBUKA
Zipo kesi nyingi za wanawake kutoridhika ila si wanaume jitahidi usiwe kati ya wachache wasioshitakiwa kuto waridhisha waume/wapenzi wao haili itayokufanya uachwe
😍😍😍😍😍😍
Mwezi wa mapenzi nje nje usije kuachwa sasa badirika mfanye mwandani awe nafuraha kila akuonapo
TUKUTANE ktk somo jingine


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post