🌺KWENU WANAUME 🌺🌺🌺🌺🌺🌺MANENO MATAM NI TIBA YA MOYO WA MWANAMKE MUME💞 - EDUSPORTSTZ

Latest

🌺KWENU WANAUME 🌺🌺🌺🌺🌺🌺MANENO MATAM NI TIBA YA MOYO WA MWANAMKE MUME💞

🌺🌺__Mke wangu kila ninapo kwambia nakupenda sio lazima ww pia unipendee. LAAAH!!!SIO LAZIMA
Upendo wangu TU kwako unatosha
MKE wanguu ila ninapokuambia nakupenda nahitaji TU ujue kua yupo mtu usiku halal bila kuiona sura yako mpenzi
MKE🌹🌹🌹🌻 OOOOH!! mashallah nakupenda pia mume Wang💞💞
🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺🌺
MANENO mazur kwa mkeo humfanya ajisikie huru kua na wewe mda wote sio mwanaume unagubuu mpka mkeo anaogopa kukuelezea shida zake yaani mwanaume ww kwasababu TU ww ndo kichwa Cha familia basi Mambo yako Ni ya kijeshi jeshi tuu wewee!acha ushamba huo wee muslam wa wapi ndg yangu ukitoa amri utafikiri mwanajeshi mwanaume ukiingia kwa nyumba utafikiri kumeingia bokoharam unafoka lisauti Hadi mtaa wa Saba mwanaume kisiran mwanaume ukikosewa kidogo na mkeo unazira kila kitu Haipendezi bana
Mpende mkeo 💞💞💞
Msifu mkeo Kuna baadhi ya wanaume hawajui hata kusifu wake zao Sasa unataka akasifiwe huko sokoni na wauza nyanya??Msifu mkeo mwambie
MKE wanguu ww Ni mzuri
Jicho lako kama🍅 tomato
Kifua chako Kama 💻 laptop
Tumbo lako kama 🎬 desktop
Msifu mkeo
Siku zote mwanamke hudhamini MANENO mazur kuliko hizo pesa zako
💞🌺🌺🌺MANENO mazur humfanya mkeo akuwaze kutwa nzima
Sio ukiingia nyumbani makelele Kama soko unaskika ww TU ukiona kijikosa utanza wee!! mwajuma hivi Ni Nini?? Khaaa 😲Yani mkeo unamwita kabisa jina Kama unamuita mwanao??
Hibu badilika Mpe majina mazur 🌺🌺 honey, sweet,baby, wewe ndo baby Wang unaenilainishia kifua muite hata chocolate mapenzi Ni vionjo TU Wala hayana shule hayan Cha kwenda kwa waganga
Mpende mkeo 💞💞 💞 huyo ndo ubavu wako kua mume maridadi jitulize kwa mkeo
Mheshimu mkeo 💞 msikilize mkeo yeye ndo tiba yako uuguapo hao michepuko hawakusaidii chochote mume Baki na mmoja ridhika na mmoja anatoshaaaaa
Mmeskiaaaa??au tuanze upyaa!!?
UKIYAPENDA YACHUKUE na UYAFANYIE KAZI 💐 💐
MWISHO 🍊 🍊




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz