KWANINI MAHUSIANO NA NDOA ZA SASA ZINAPATIKANA KWA MIZANI YA UWEZO✍ - EDUSPORTSTZ

Latest

KWANINI MAHUSIANO NA NDOA ZA SASA ZINAPATIKANA KWA MIZANI YA UWEZO✍

maisha_na_mahusiano18 Instagram profile with posts and stories ...
Kwa sasa ili upate Mtu wa kukupa RAHA YA DUNIA YA MAPENZI unawajibika kujipima nafasi uliyopo lakini pia uwe unamzidi nafasi Mtu huyo ama wewe uwe chini yake na yeye akuzidi uwezo walau mnaweza kufikishana kwenye ALA ZA ROHO👌
Mapenzi ya Sasa yanatawaliwa na UBINAFSI kwamba mtu anapanga kukidhi haja zake yeye wala hana wazo kwa upande wa pili unaoleta STAREHE HUSIKA 💯
Sio Mtu Mke wala Mtu Mme kila mmoja anajitazama mwenyewe na kuamua kumchukuwa mtu ambaye atakamilisha HITAJI LA MWILI WAKE👙
Mwanamke anamtafuta Mwanaume aliye chini yake ili amnunue kwa sababu zake, Vivyo hivyo Mwanaume anatafuta Mwanamke ambaye atampa chochote ili akampe BURUDANI ndipo unabaini kwamba MAPENZI YA DHATI HAYAPO na kama yapo basi ni bahati kuyapata😂
Mwanaume mwenye pesa kamwe hamtaki Mwanamke mwenye pesa unaijua sababu ya hilo?
• STAREHE YA MAPENZI NI KUJITUMA💯 Mwanamke na pesa zake anaanzaje kukata mauno ili ampagawishe Mwanaume? Vivyo hivyo Mwanaume ana pesa zake anaanzaje kuzama chumvini😋
Ukiona uko na Mpenzi ana pesa na anakupa kila aina ya UFUNDI ujue huyo KAFIKA kigoma mwisho wa reli🚂




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz