KWA WALE WANAOTARAJIA KUOA/KUOLEWA


*Usioe wala kuolewe kwasababu ya sex.
*Usioe wala kuolewe kwa sababu tu umri wako unakuruhusu.
*Usioe wala kuolewe kwa sababu umechoka kuwa single.
*Usioe wala kuolewe kwa sababu umempa/umepata mimba.
*Usioe wala kuolewe kwa sababu ni mzuri au anapesa sana.
*Usioe wala kuolewe kwa sifa.
*Usioe wala kuolewe kwa sababu tu unapenda harusi.
*Usioe wala kuolewe kwa sababu eti marafiki zako wote wameoa/wameolewa.
But:
-Get married, because you want to fulfil destiny.
-Get married because you want to be a
helpmate to an imperfect person who loves & accepts you for who you are, not who you pretend to be!
-Get married becos you want to fulfil your
promises.
MY PRAYES FOR YOU:
*Mwenyezi Mungu akushike mkono ktk kufanya


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post