KWA DUNIA 🌎 YA SASA THAMANI YA MWANAMKE INACHANGIZWA NA VILE ALIVYO NAVYO💯


Dunia inakimbilia kwenye UANGAMIVU hasa kwenye swala linaloitwa UPENDO 💘
Watu wengi wanatazamana kwa UWEZO WALIO NAO kwamba bila kuwa na kitu ambacho kitaleta faida kwake basi anakosa sababu ya kuwa nawe 🤔
Mahusiano na NDOA nyingi ili zidumu ni pamoja na KUTENGENEZA ULINGANIFU WA KILA KITU vinginevyo mmoja anapokuwa yupo LEVEL fulani na mwingine yupo chini yake KAMWE HAWATAFIKIA UPENDO 💘 WA DHATI 💕 kwa sababu kutakuwa na hali ya KUBAGUANA KWA MUONEKANO 😂😂
Mwanamke ndiye mwenye kuhitajika kuwa na kitu kuliko Mwanaume japo inatakiwa Mwanaume ajue kucheza na HISIA ZA MWANAMKE 💯 Maana Wanawake wa sasa wamepofushwa na MUONEKANO WA MWANAUME hata kuamini katika UTANASHATI 🕺
Kwamba ili Mwanamke awe na UHUSIANO ama NDOA itakayompa FURAHA NA AMANI lazima awe na MALI KIDOGO ili Mumewe apate pa kuanzia, Maana Wanaume wa sasa wanasema KAZI RAHISI NI KUMFURAHISHA MWANAMKE UTAPATA UTAKACHO.
Mwanamke uwapo na MALI ambazo zimepatikana kwa nguvu zako USIAMINI 💯 UPENDO WA MWANAUME Kwani UPENDO WA MWANAUME NI PAMOJA NA KUJITEGEMEA MWENYEWE vinginevyo Mwanaume atakuwa yupo kwenye MTAJI WA MASIKINI NGUVU ZAKE MWENYEWE 😂😂😂
HAPPY NEW YEAR 2020 🎉 🎊 🎈 🎇
#Elista_Kasema_ila_Sio_Sheria 🔨

Image may contain: 1 person, smiling, standing and outdoor


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post