Kuna Aina 3 za WANAWAKE na Style zao za Mahusiano ya Kimapenzi,kwahiyo Unapochagua Aina unayotaka uwe na uhakika utaweza kuimudu…
TYPE 1:
Aina ya KWANZA ni ile ambayo inaitwa CORPORATE BABES…Hawa ni Wanawake ambao wako very Independent,wengi wamesoma na wana kazi zao nzuri na WANAMILIKI MAGARI YAO…Akija kulala kwako anakuja na Gari yake anapaki,anataka umpe Massage kwa sababu ya Uchovu wa Vikao,Report na Excel Sheet za Ofisini..Hawataki Hela yako,All they need is a good CASSAVA
Akiamka Asubuhi kabla hajaenda Kazini atapika Chai kisha atakuja kukuaga kwa Maneno Haya,
“Baby,Mi nawahi Kazini,Nimekutengenezea Chai na Mayai,ukiamka Let me Know”
TYPE 2:
Aina ya PILI hawa Sio Corporate Kiivyo ila wanajiita HUSTLERS..Wana Vibiashara flani vinavyowaweka mjini lakini HAWANA MAGARI…Akija kwako atakusimulia Miradi yake,Mzigo wa Vitenge alioagiza toka Congo,ATACHOMEKEA kwamba Kodi yake inakaribia kuisha..Mizinga yao huwa ni SEASONAL ila Utajuta..
Anakutegea ule muda unakaribia “Kuutupa Mkojo” anakupiga na hii Bili,
“Baby naomba niongezee Milioni 3 nna mzigo Bandarini umekwama halafu Cheque yangu imekwama hadi Next Week Please Bae ntakurudishia”
Mkopeshe Uone!
TYPE 3:
Aina ya 3 hawa wanaitwa NUNGAYEMBE TYPE…Shule Hawajaenda na Hawataki Kusoma kabisa…Hawataki kufanya Kazi,wao wanataka KUDANGA,Kujibinua na wawe SELEBU GHAFLA…Ukimkuta Samaki Samaki unaweza kudhani ni Corporate Manager wa Benki Flani kumbe anakula Mingo…Ukidate naye utafurahi…Akija Ghetto kwako kulala asubuhi Sa1 wakati Usingizi ndo Umeanza kukunogea ANAKUAMSHA,
“Baby mi nataka niende,sasa UNANIACHAJE?”
Unamuuliza,NAKUACHAJE KIVIPI?
“Naomba Hela ya Bajaji SINA HATA SHILINGI”
Ukipata TYPE 1,Usikawie,MUOE…Thats a Woman who can MULTIPLY UR WEALTH!
Ukipata TYPE 2 My Dear Kaza Moyo tu maana Umejitakia Mwenyewe.
Ukipata TYPE 3 hakikisha UMEAGA KWENU maana huwa Wanaenda kwa Waganga kukuchawia ili usimuache,unashangaa demu ukitaka kumuacha huwezi kumbe alishakuwekea Kipande cha Nyama kwenye Papa muda mrefu tu!
WANAUME TUNA KAZI SANA!
Post a Comment