📖📖📖📖📖 Kiukweli ndoa kupata si kazi ila shughuli ni kuitunza ndoa huo ni ukweli ulio wazi
🌺🌺umewaacha wazaz wako umeenda kwa mumeo unatakiwa ujiulize hivi ni nini nimefata huku kama kwenu ulikua unakula,unavaa na umenawili pia ndo maana amekupenda amekuoa sasa iweje umfanyie haya######
🌺🌺HASIRA Hivi kwenu babaako alikua hakufokei au mama yako alikua hakufunzi? Eti leo mumeo anakufokea umemkosea mdomo unazid pua tena unamjb nina kwetu wala sikuua hebu jarb kwenda kwenu uone afu majb utanpa ukfka kwenu
🌺🌺DHARAU Mwanaume ni mfalme anahtaj kuenziwa na wala humkomoi mtu ukimdharau unajiharbia ww kwanza mwanaume ni kama mtto mchanga,aklia kdg umewaza cjui anataka nyonyo mmh cjui anataka nn na hata akicharuka kulia ww upo kmya ndo mume anahtaj kufanyiwa hvohvo KINYONGO
🌺🌺kinyongo c tabia nzuri amekuuz msamehe tena usahau ili muendlee namaisha mengne lkn sio unamsameh kinafk amekuuz ww unaweka moyon haipendez na kwa hali hyo hamfiki mbali Basi jitahd kuchukua mazur yake na mabaya yake hesab kama mapungufu yake kwan hata wewe una mapunguf yako tujtahd kuish na waume zetu kwa wema kwan hata penseli ina kifutio ili kufuta makosa so FORGETING AND FORGIVENESS IS VERY IMPORTANT OF UR LYF Team Brayton Offical Love
Post a Comment