Haina Maana ukimpata wewe na ukaamini ndiye wa NAFSI yako eti na wewe ndiye wa NAFSI YAKE muda mwingine mihemko inawafanya watu kuwa kwenye MAHUSIANO japo hawamaanishi katika UPENDO ⛔
Mapenzi na mapana yake yana siri pana, Kwanza ifahamike wazi UPENDO na TENDO LA NDOA ni maeneo mawili tofauti japo YANAKWENDA KWA MAANA MOJA.
Mtu anaweza kukupa nafasi uwe nae kwa UPENDO ama akakupa nafasi kwa sababu ya TENDO LA NDOA japo wengi wanajidanganya mtu akikuvulia nguo ndo kakupenda Kumbuka hiyo ni STAREHE na wala haina DHAMANA YOYOTE KWENYE NAFSI.
Ogopa sana kukutana na Mtu ambaye bado anayo maumivu ya kuachwa na mtu aliyempenda ama aliyemzoea kwa sababu MAPOKEO YA UPENDO YANATOKANA NA UTULIVU WA NAFSI lakini kama Mtu bado anaugulia kulikosa penzi lake alilolipenda basi TARAJIA KUUMIA kwa sababu akitafutwa na ALIYEMPENDA ni ngumu kujua uwepo wako zaidi ataondoka bila wewe kujua na atakuachia MATESO ambayo utajutia kumjua.
Kwenye hii dunia HAKUNA ASIYEPENDA KUPENDWA ila lenye gharama ni pale unapompenda Mtu ambaye hakupendi, Waswahili wanasema;
"KIPENDA ROHO KULA NYAMA MBICHI"
Unaweza KUMPENDA Mtu kwa kuamini ni chaguo lako na mnaendana ila yeye asione ķama wewe mnaendana na badala yake akampenda Mtu ambaye hata ukijilinganisha nae unaona kama AMEKUDHARAU na kumbe ni ile hali ya UHITAJI WA NAFSI na hapo ndipo kumewaumiza wengi, Raha ya MAPENZI uwe na Mtu wako ambaye anatokana na mahitaji ya NAFSI na MWILI wako kwa sababu huyo ndiye atakupa kujiamini wala usiwatazame watu watasemaje bali angalia UTULIVU WA NAFSI YAKO💪

Post a Comment