HUYU NDIO MWANAMKE WA KUOA ILA SIJUI KAMA TANZANIA YUPO

MAMBO 5 YA SIRI KWA MWANAMKE - Gazeti la Dimba
1-Mwanamke ambaye anakuja kwako na akakukuta unakula ugali na kachumbari kisha akaamua kula nawe,
huyo mwanamke oa.
2-Unakwenda naye hotelini na anaagiza ugali dagaa na maji tu, huyo oa kwani
anajua uchumi.
3-Mdada aliye amua kumuacha bwana anae miliki 🚘 gari na kukufata wewe wa 🚶🏽miguu mitupu, usimuache huyo.
4-Mwanamke anaekuja kwako akakuta 👕👖 nguo zako chafu akaamua kufua zote mpaka za wadogo zako, huyo mke usimuache.
5-Mwanamke unampa 💸 Tsh 5,000 akafanye shopping sokoni kisha akarudisha chenji, huyo usimuache kwan anajua kuban matumizi na muaminifu.
6-Ukimpat mwanamke ambaye anakupigia cm na kukuuliza je anaweza kukutumia credit au hela ya lunch au anakupa pocket money saa nyingine, huyo mwanamke mtangazie ndoa fasta.
7-Mwanamke ambaye anakupa password ya bank laptop cm na emails zake, oa haraka sana watamfukuzuia wenzako.
8-Mwanamke ukipanda nae daladala anakulipia nauli au mkitoka aut analipia bili ya vyakula na vinywaji, huyo usimuache anajua wajibu wa wanandoa.
9-ukimpat ambaye mnapokula yeye anachagua mifupa na kukuachia minofu, huyo oa fasta kwani anajali afya yako.
10-ukipat mwanamke ambaye kila ukimuuliza umletee nini unapotok kazin lakini yeye anakwambia kuwa hahitaji chochot bali anataka tu urudi salam, huyo ndie mke sio kila siku unatumwa chipsi
SHARE kwenye magroup


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post