1.Anaekuomba msamaha wakati hajakufanyia chochote kibaya.
2.Yule anaelia sababu anakupenda au kukukumbuka.
3. Anaejaribu kukurudisha wakati mlisha achana.
4.Hata umuumize kiasi gani,bado atakuambia anakupenda na kukufanyia yote utakayo.
5.Anaeacha kurumbana na wewe ili kuunusuruuhusiano wake.
6.Anaefanya ujisikie wewe ni wa pekee kwake, na kujaribu kukupa furaha.
7.Pale anapojisikia vibaya lakini hawezi kukwambia baada ya wewe kuhaibika.
8.Anaetaka kukuacha sababu ya ukorofi au tabia nyingine kama nizo,lakini hakuachi.
9.Anaesema anakupenda au kukumbatia mbele za watu bila kujali macho yao.
10.Anaekuwa karibu na wewe zaidi wakati wa matatizo.
11.Anaetoa tabasamu lake halisi kila akuonapo au kusikia sauti yako.
Post a Comment