Tunaposikia alarm za kwenye simu zetu asubhi huwa tunatamani hata uendele kulala kidogo angalau dakika mbili zingine maana tunakwenda kwenye dunia ya mahangaiko na shughuli mbalimbali za kimaisha ikiwemo kujitafutia liziki na fujo za hapa na pale ili tu mkono uwende kinywani. Lakini wenda ukafurahi kuwa s-ex nzuri inafaha kufanyika asubhi kuliko hata usiku katika faida nyingi nitakupa zile mhimu zaidi ili uzifahamu kuanzia sasa.
🥒1.SHAH-AWA ZA MWANAUME KUJAA ZAIDI ASUBHI Utakubariana na Mimi mida ya asubhi hasa mwanaume utaona mweshimiwa amesimama kweli kweli akiuliza wapi mji hivyo hii ni njia moja wapo ya kukufanya uwe na mood ya kushiriki tendo la ndoa kwa mdaa mrefu zaidi katika kushiriki se-x na hivyo kukufanya
🍌-kuwa na furaha zaidi siku nzima
🍌-kuchangamka kazini siku nzima
🍌-akili kuchangamka .
🍌-akili kufanya ubunifu zaidi.
🍌-kupunguza mawazo .
🍌-kupunguza msongo mwilini.
🍌-kupata mtoto mweupe na mzuri.
🍌-kupokea ujauzito kwa bei nafuu .
🍌-kuimalisha kinga yani CD4 zako kuwa konki ×3 master.
🍌-kupunguza ganzi mwilini.
🍌-kuboresha misuri ya damu.
🍌-kupunguza na kuimalisha mapigo ya moyo kwenda vyema.
🍌-kumalisha mapafu zaidi kupokea hewa na upumuaji.
🍌-kusaidia pressure ya chini kwenda juu.
🥒2.MPIGO MMOJA SAWA NA KUFANYA GM YA MAZOEZI ASUBHI Unaposhiriki se-x asubhi kitafiti ni sawa na kukimbia kiwanja cha mpira viwili na hivyo kuchochea mwili wako 🍌-Kupunguza mafuta mwilini.
🍌-Kupunguza unene mwilini.
🍌-kupunguza na kukuepusha na kisukari.
🍌-kuimalisha joint za miguu.
🍌-kuepusha tezi dume/busha.
🍌-kuepusha na hasira.
🥒3.KUIMALISHA UPENDO KATIKA MAHUSIANO. Haswa asubhi mnapokwenda kuoga bafuni hakikisha umwachi mwenza wako kitandani amka naye nenda naye hadi bafuni oga naye pamoja mwache akusugue mgongo na baada ya hapo rudini ndani naam s-ex inapoendelea zipo faida zitakazo jitokeza kwa wingi sana ikiwemo :- -kuimalisha mawasiliano yenu ya ndoa.
🍌-kuimalisha mawasiliano yenu ya mahaba tele.
🍌-kuimalisha usikuvu wenu wawili.
🍌-kuimalisha upendo baina.
🍌-kuimalisha heshima ya ndoa.
🍌-kuepusha na kupunguza michepuko hasa kwa mwanaume.
🍌-kumfanya mwanaume akusikilize zaidi.
🍌-kumfanya mwanaume kuwa mtulivu Asanteni
Post a Comment