Ebu tuangalie madhara ya kufanya TENDO la ndoa kabla ya wakati.


#1👂👂 #KuharibuHUSIANOnaMUNGU.
Tunajua kuwa mahusiano yetu yanatakiwa yaongozwe na Mungu ili yawe imara hata katika uchumba na ndoa, ila mnapoanza katika kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa basi mnamfukuza Mungu na Shetani anaingia na KUWEKA makao mioyoni mwenu kwani mmevuja agano lake MUNGU na miili yenu.
#2👂👂 #KupunguzaUAMINIFU.
Sababu kubwa mojawapo ya kuyumba kwa mahusiano ni kukosa uaminifu katika mahusiano sasa , Ni kulala na mtu kabla ya ndoa, yeye mwenyewe kwanza hatakuamini, maana anajua kabisa nikosa na amekushawishi ukakubali sasa je, mwingine akikushawishi si utakubali Na hilo limekuwa tatizo linaloendelea hata katika ndoa ukikubali kulala na Mwanaume huyo sasa hivi kwa kigezo cha kulinda uchumba wenu , UJUE hatakuamini milele hata kama akikuoa maana ile alama ya kujiuliza() ya kuwa Wewe kumkubalia itarudi kichwani kwake , kuwa si hata mwingine anaweza kunywea kisima changu
Na ukikataa mpaka ndoa, akikuoa atakuamini sana hatakuwa na mashaka na wewe kwani anajua kuwa wewe sio mwepesi kushawishika na Mwanaume.
Sababu kubwa ya kuvunjika kwa mahusiano ni kufanya Tendo la NDOA Kabla ya NDOA.
Kivipi
Mwanaume #sex ni starehe kwake ila mwanamke ni ishara ya Upendo.
Mwanaume anamataka Mwanamke ki #sex ili kuridhisha tamaa zake za mwili ila Mwanamke anakubali kulala na Mwanaume ishara ya UPENDO na hapo ndio mambo yanapochanganyana.
Mwanaume akilala na Wewe ni rahisi sana kukuacha, kwasababu mbili.
👉Moja hakuna asichokijua kuhusu Wewe mwili wako wote , kaufunua amekumaliza hivyo hana hamu na Wewe hivyo atamtafuta mwingine na Wewe utaachwa kimya kimya. Na kwenda kwa mwingine hata akikuoa Amini husiamini Hilo litatokea ni KWAMBIE SASA , hakuna unachokijua isipokuwa kutoa ngono tu.
👉Pili atakuacha kwasababu kiukweli hata Wanaume wengi hawapendi kuoa Mwanamke ambaye ni mwepesi sana kutia Uke wake. Hivyo ataona tatizo katika ndoa na hivyo atakuacha akitafuta aliye na msimamo au hata mukifunga NDOA kutoka nje ya NDOA ni Jambo la kawaida Sana kwake nikuambie , hata Wewe kuchepuka ni jambo liko peupe per
kwani mioyo yenu ni ghala la shetani alishawekeza mambo yake 1. Mashaka 2. Upungufu wa nguvu za kiume 3. Kukauka uke
4. Ushamba wa sex 5. Mipicha ya ngono 6. Ubinafsi 7 . Tamaa 8. Nyege mshindo 9. Wivu wa kishetani 10. Dharau 11. Kufirana na kadhalika yako mengi sana anayajaza 👉sasa hapo kuna NDOA au maigizo , na ndio maana #NDOA nyingi ni majanga.
4.👂👂#HupunguzaHeshimaKATIKAjamii.
TENDO hili si jema hata kidogo kulifanya kwa watu ambao si WANANDOA hivyo hata jamii itakupunguzia heshima japokuwa linaanza kuonekana kama suala la kawaida ila si kawaida. Zinaa imeeenea Jamani , watu watamaliza Semina na Semina za NDOA wala hakuna majibu zaidi ya Shetani kupakua ghala lake ndani ya mioyo ya WANANDOA na kuwachanganya WANANDOA kwa kulaumiana ni KWAMBIE SASA hakuna jipya chini ya jua ibilisi bwege tuuuuu ujue 😄
.
Wadada wengi sana wanalia kuachwa kwasabu walitoa miili yao , na Wanaume wanalia sana Kwa sababu ya kusafisha marungu Yao Kabla ya wakati sahihi .
Mwanamke amejirahisisha kwa huyo jamaa na mwisho anaachwa na hivyo wengine hutaka kufa, ila chanzo ni ngono maana umempa kila kitu katika moyo na mwili wako sasa anapokuacha unaona kama huna chochote ambacho ni cha heshima na unaamua kufa/Au huyo Mwanaume akiona wataka kumwacha naye anakuua ,Au najiua na yeye maana mioyo yenu imejaa utumbo wa Shetani , ni yeye amakuja kuiba na kuchinja kuuua KABISA
👉 Pole sana tambua kosa lako.
👉 Linda mwili wako sana
👉Tambua unapomvulia Mwanaume chupi unapunguza asilimia za Upendo na jiandae kuachwa muda wowote.
🔴Naumia sana napowaona Wanawake wanajirahisi kwa Wanaume , najua nikisemacho nina Umri wa Miaka 45 na ninaelekea 46 , najionea mengi Wanawake wajipeleka kama ngombe anayepelekwa machinjioni ila hawajui kile kitakachotokea baadae. #NAJUAndioMAANAnakwambia
🔴Tambua kuna mambo ambayo sijaandika kama mimba ,UKIMWI na magonjwa mengine ya zinaa.
🔴 Ila nakuoma Mwanamke mwezangu sana na kwahuruma sana, Linda mwili wako usiruhusu hata kama unampenda vip.
🔴,Linda hishima yako, hakuna Mwanaume aliyekamilika ambaye akinyimwa Uke atakufa,
Tunza mwili wako.
🔴Na Kaka yangu nakuomba pia Linda mwili wako, Huyo Mamamkwe hatokuamini ,ila pia jua hata Mungu umemkosea .
🔴Kufanya sex kabla ya NDOA unaweza kusamehewa , hivyo Yapasa ujue , ila madhara yake yatabaki milele daima, hivyo hata NDOA yenu kuna uwezeknao muhimiri wake akawa shetani.
#NINIkifanyike👇
Tunza mwili wako
Naandika hata kwa uchungu sana maana ,naona Wanaume kwa Wanawake wakijiangamiza wenyewe,
Jiandae kutarikiwa au kokosa amani katika NDOA
Huo ni ushauri unaweza kuendelea kufanya tu. Ila mie nimekwambia tena kwa Upendo ,
🔴NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE 🙏
NA MALAZI YAWE SAFI 🙏


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post