Yaani Ukiona Mwanaume Kamwacha Mke wake akaenda Kuuweka ndani mchepuko wake basi Jua kwamba sio Akili yake ni akili ya Kupewa.
Ninacho jaribu kukwambia leo hii dada Yangu ni kwamba achana na mume wa Mwenzio Tafuta wa kwako.
Yaani vijana kibao wanakutongoza Unawakatalia unasema Tayari Unamtu Mtu Mwenyewe Mume wa mwenzio hivi Unaakili kweli wewe??
Acha kuringa na mali ambayo sio yako. Kama kakwambia mke wake Anamsumbua unadhani ni ukweli anacho kisema?
Kama alikuwa anajua mke wake ni msumbufu kwanini alikubali kumwoa?? Anakulalamikia kwamba mke wake hampi unyumba hao watoto Walionao wamewapataje?
Embu Amka Usingizini Dada Jichagulie Ka handsome kako huko muanze kufanya maisha. Maana mwisho wa siku atarudisha mapenzi kwa mke wake na ww utabaki na ujinga wako.
*Enough?*
💚@IBRAHIM
💚@IBRAHIM
Post a Comment