Dada, naomba unisikilize vizurim narudia, naomba unisikilize vizuri, huyo mwanauem hawezi kuwa na wewe, narudia, unampenda lakini hawezi kuwa na wewe. Sababu moja kubwa ni hivi, amekuzidi elimu lakini umemzidi akili ya maisha lakini pili umemzidi bahari. Yaani akiwa na wewe hajioni mwanaume kwakua, kila wazo analokupa linakua la hivyo na mawazo yote unayompa yanakua ya maana.
Kwa mwanaume anayejielewa angekuchukulia wewe kama fursa, yaani angsema atumie bahari yako mfanikiwe weote muwe kama familia. Ila huyo anaona wivu, anakua na hasira hiivyo anakua hajiamini na mwisho anadhani kwa kukudharau basi atakushusha. Ndiyo maana katembea na rafiki yako, ndiyo maana kila pesa anayopata anaenda kuhonga, ndiyo maana Biashara zako anaweka wanawake zake ili tu kukuumiza.
Unasema kakuacha, lakini nikuambie, huyo mwanaume, hawezi! Hawezi! Hawezi! Hawezi! Hawezi! Hawezi! Hawezi! Hawezi! Hawezi! Hawezi kabisa kukuacha, kwakua hana pesa wala kili ya kutafuta, hiyo Biashara ambayo kakudhulumu, unasema Biashara ina mtaji wa milioni 10. Dada Iddi Makengo anakumabia kuwa huyo mwanaume hiyo Biashara itaanza kutumba baada ya miezi miutatu.
Mwezi wa nne ataanza kukutafuta kukusalimia na mwezi wasita atarudi kwako kuomba msamaka. Atajifanya kujuta, atalia, atatumia marafiki, atakuja mpaka hata nyumbani kwenu, si hujampeleka kwa Mama yako, atamtafuta kutaka kuomba msamaha kutaka kukuoa. Shida moja kwa wanawake kama wewe, mna akili sana za msiaha lakini ni wadhaifui, wadhaifu, wadhaifu kwenye mahusiano, yaani sijakose, kwenye mahusiano mko sifuri kabisa. Ni rahisi kupenda na kuchanganyikiwa na kila mwaume mnamuona mume.
Mwanaume akikutongoza basi unawaza ndoa, na kwakua mna akili sana basi shida inakuja kuwa hamtaki kuonekana mkibadilsiah badilisha wamaume kila siku mnawaza “Nitaacha wangapi? Je na huyu mwingine akiwa hivyo nitafanya nini?” kwa maana hiyo mnakua mkiumia umia. Nimengea kwa hasira kwakua najua kuwa huyo mwanaume atarudi kwako akikwama kuifedha pia najua nutamsamehe, ila nataka wakati unamsamehe basi hii sauti yangu ikae kichwani kwangu.
Najua hutanifafuta wakati huo, nina uhakika kwakua unajua majibu yangu basi hutanitafuta. Sasa kama akija anataka umsamehe basi angalia vitu hivu;
(1) Je, ana kazi na anakipato anajitegemea au anataka nimsamehe aje kuishi kwangu na kusimamiabishara zangu. Kama ana kazi ana najiotegemea, anataka wewe ndiyo uende kwake na si yey aje kwako. Kama hataki kugusa bishara zako, kama hataki kitu chako basi huyo labda kabdailika na kaona alikua anafanya ujinga kweli. Lakini kama hana kazi, yamemkuta ndiyo anajifanya kajifunza basi jua kuwa ni bado kabsia hajabaidlika kaja kuchuma tena.
(2) Kuna mtu yuko naye, na bado ana wanawake zake; anaweza kuja kukutafuta, lakini ukichunguza bado kuna mwanamke anaishi naye, kuna mwanamke ambaye anaongea ongea naye. ukiona hivi basi jua kuwa mambo yanakaribia kuwa magumu hivyo anajaribu upepo, ukikubali anarudi kwako kukuchuna mpaka amalize.
Kama akikutafuta na kutaka kurudi tena nitafute, najua na nina uhakika,atarudi, sababu pekee ya kumfanya asirudi kwako ni apate kazi ya maana ya kumpa kipato kikubwa au apate mwanamke mwingine kama wewe ambaye atalea, ila hawezi kurudi akiwa hakuhitaji, hana ujanja wa kutafuta pesa zake. Mwanaume uneyemsaidia halafu anaenda kuhonga basi jua kuwa akikuacha zikiisha atarudi kuchuma nyingine.
MREJESHO SOMA POST INAYOFUATA
Post a Comment