Lakin umpate MTU sahihi atakae kuwa tayar kubeba madhaifu yako na kuyafunika kwa mazur yako kisha mukawa na nyuso za furaha
Kuliko kuwahi KUOA au KUOLEWA ila huoni furaha ya NDOA sababu ya wing wa usalit na ugomvi usio kwisha
Naendelea kusubiri
Sichok kusubiri
Sichok kusubiri
Usichoke
Kuwa mvumilivu
Mda una enda subir kidogo
Mungu yupo aliye kuandalia
Kuwa mvumilivu
Mda una enda subir kidogo
Mungu yupo aliye kuandalia
Haya na mengine
Kumjua mtu sahihi
Kumjua mtu sahihi
Post a Comment