*🌻ATHARI ZA JINI MAHABA KWA WANAUME🌻* - EDUSPORTSTZ

Latest

*🌻ATHARI ZA JINI MAHABA KWA WANAUME🌻*


*fata hili darsa kimakini, ukiwa na swali utauliza*
*Jini huyu anapomkamata mwanaume huwa anamuondolea hamu ya kufanya tendo la ndoa kama vilevile afanyavyo kwa mwanamke.*
*Mwanaume hupungikiwa na nguvu za kiume na kufika kileleni baada ya dakika mbili tu, kama kuku na hapo ndipo heshima inaposhuka.*
*Mwanaume mwenye jini huyu huota sana ndoto za kufanya mapenzi kama vile aotavyo mwanamke ndoto hizo.*
*Jini huyu huutia mwili nuksi na kuharibu mipango mbalimbali ya mtu, awe mwanaume au mwanamke.*
*Wakati mwingine anakuwa na majibu machafu na kero ili mradi tu mgombane halafu mume ageukie ukutani au alale na suruali na hapo ndipo jini huyo huja yeye na kufaidi tendo.*
*Jini mahaba ni tatizo sugu linalowasumbua watu wengi, na tuliwahikusema kuwa sababu kuu ya uwepo wa jini huyo ni giza la kiroho linaloundwa na akinamama bila ya wao kutambua.*
*Sasa anapofanikiwa kumkamata mwanamke, alama ya kumtambulisha kuwa yupo huwa ni kutohisi hamu ya kufanya tendo la ndoa na kujisikia kuwa mkali pale mume anapoulizia swala hilo.*
*Kama una dalili tajwa za kuwa na jini huyu, fanya haraka uweze kumuondoa maana ukimuacha atakutia ufukara wa kimwili na akili*
*ATHARI ZA JINI MAHABA KWA WANAWAKE*
*Pia ikiwa ni wanandoa basi huwa na migogoro isiyoisha, jambo dogo linaweza kuzua ugomvi mkubwa sana ndani ya nyumba.*
*Pia katika mazingira kama hayo mwanamke hujisikia raha zaidi ya ile anayoipata wakati akilala na mwanaume wa kibinadamu*
*Lakini jambo hili huwa nadra sana kutokea kwa jini mahaba, wengi wao huwa wanakuwa wabishi sana kuondoka na jambo hili linatokana na baadhi ya majini hao uwa wanawaingia wanadamu tangu utotoni na kujidhihirisha katika utu uzima.*
*Mpenzi msomaji jini huyu ni chachu ya kuvunjika kwa maelewano kati ya wawili wapendanao na kinadada wengi tayari wameshakimbiwa na watu wao kwa sababu ya jini huyu.*
*Madhara makubwa kwa mtu mwenye jinni mahaba kwanza kabisa mikosi isiyohisha kwa mwanaume au mwanamke, ikiwa wawili hao hawajaoa au kuolewa kila mmoja uichukia ndoa au kutopata bahati ya kuoa au kuolewa.*
*JINI MAHABA anamadhara makubwa sana pindi aingiapo kwa mwanadamu japokuwa wapo majini wengine wanaweza kumwingia mwanadamu na wakatoka wenyewe bila tiba yoyote.*
*Au kwa wle waliotumiwa wanakataa kutoka kuogopa wale walio watuma kutokana na ahadi walizokubaliana.*
*Wakati mwingine jini huyu husababisha maumivu sehemu ya tumbo hususan pale inapofikia wakati wa kutaka kufanya mapenzi, jini huyu pia husababisha mvurugiko wa vipindi vya mwezi na maumivu wakati wa kuingia au kabla ya kuingia katika siku hizo.*
*Mume kupoteza uwezo katika tendo la ndoa jambo ambalo linaweza kusababisha migogoro ndani ya ndoa yao, halikadhalika anaweza kusababisha mwanamke kutoshika mimba au kuharibu mimba baada ya miezi michache tu*
*Vilevile katika jambo la unyumba mke au mume anaweza kumchukia mwenziwe bila sababu, kutotamani tendo la ndoa kwa mwanamke, kutosikia raha katika tendo la ndoa, wengine kusikia maumivu katika tendo hilo.*
*🌻mwisho wa darsa letu 🌻*




Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz