🍎🍎🍎🍎🍎🍎🍎 1. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu!
🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒 2. Lakini mwingine akichukia, anaongea saanaa muda wote hadi ikukere!
🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒 3. Mwanamke mwingine akikasirika, ananuna, haongei! Mtapishana tu kimya kimya. Mawasiliano kibubu-bubu. Shavu limejaa kama Kobra!
4. Mwingine akishikwa na hasira, period ya ghafla ghafla inafuata!
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 5. Wako wanawake ambao, akichukia, Atakachokishika usipokimbia anakutandika na anaweza kukuchoma na kisu,, majuto baadaye!
🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒 6. Mwanamke mwingine akikasirika, hasira zake zinaishia kwenye kuvunja-vunja vyombo. Au saa nyingine kugombeza-gombeza wafanyakazi na watoto! Dizaini hii, huwa ni wale waliokosa kukidhiwa haja za kihisia/ ndoa na waume zao!
🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓 7. Mwanamke mwingine akikasirika, Mtajuana kitandani panapo usiku, Nakwambia utaungama yoote!
🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒 8. Kuna wengine wakitibuliwa, hukimbilia kufunga mabegi na kuondoka!
🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓 9. Wapo ambao wakikasirika, wanagoma kupika! 10. Wengine wakichukia, wanaamua kwenda kulala kimyaaa!!
🍠🍠🍠🍠🍠🍠🍠 11. Wanawake wengine wakikasirika, tumbo linakata, na pengine mpaka wanaharisha!
🍒🍒🍒🍒🍒🍒🍒 13. Wako ambao wakishikwa na hasira, huingia kwenye maombi na kuugua kusikoweza kutamkwa. Uchungu ukiisha, wananawa uso na kwenda sokoni.
🍓🍓🍓🍓🍓🍓🍓 14. Yuko ambaye akishikwa na hasira, hucheka saaanaaa.... Hutajua kama amekasirika! Dizaini hii ni hatari sana, maana anaweza kukudhuru kiurahisi. **HAYA DADA ZANGU HASIRA YAKO NAMBA NGAPI**
Post a Comment