Yaliyopita USIYASAHAU kwasababu unahitaji kujifunza LAKINI pia YASIKUUMIZE

Yaliyopita USIYASAHAU kwasababu unahitaji kujifunza LAKINI pia YASIKUUMIZE na wala yasiwe kikwazo cha wewe kusonga mbele KWANI huwezi kuurejesha WAKATI nyuma na ukayabadili.
Una NAFASI ya kuwa mtu bora zaidi ya ulivyokuwa KAMA utatumia uzoefu wa ulioyapitia yawe ni kama FUNZO huko unakoelekea.
KOSA la jana huwa ni kama MWALIMU kama hutolirudia kesho.
Share


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post