Kama ilivyo hali ya DUNIA hii kwamba MAHUSIANO mengi yanaghubikwa na UBINAFSI kila mmoja kujivutia kwake ila Mwanamke ndiye mhanga mkuu kwenye hili😎
Nikiri starehe ya kitandani huibua kauli ya NDOA nyingi, Kwamba Mwanaume anashiriki ki mwili na Mwanamke hata anatamani Mwanamke huyo awe Mke wake huku akisahau hata ubuyu MDOMONI ni mtamu kama umejua kubalance mate😂
Hata wanawake nanyi mna ujinga huo, Kwamba hukuwahi kufika kileleni sasa umempata aliyemgusa kiti mashetani yote yakasimama UKAOMBA NDOA wallah MUME hatokani na RADHA YA TENDO LA NDOA kwa sababu radha haidumu ila huja kwa kushiriki ki mwili.
Mume sio STAREHE bali Mume ni BABA WA MAJUKUMU YA FAMILIA ndo maana wanawake mnajikuta kwenye MAJUTO kwa kufuata starehe ya kitandani unaolewa na MARIOO mwisho kabisa hataweza kukutunza pengine hata starehe ulipewa ilitokana na ALKASUS😂😂😂
Wanaume ni wajinga mno wanapokuwa wanataka kukojoaaaaaa, Mwanaume atakayekuwa MUME huwa hajiulizi kuhusu uzuri wa Mwanamke na wala hataweza ku-imagine Utamu wa Mwanamke bali humchukuwa Mwanamke kama alivyo na hayo atakutana nayo NDANI YA NDOA💯
Ndo maana NDOA ZILIZODUMU ni za wanawake ambao hata shape hawana kwani wanaume wao hawakuangalia mapungufu ila waliyajazia kwenye MAANA YA MKE MWEMA.
Sitaki kutofautisha UZURI WA MWANAMKE AMA UBAYA WA MWANAMKE bali najaribu kutafuta TAMAA YA WANAUME imejificha wapi😂😂
Mwanamke ukijijua una MVUTO usijidai katika KUPENDWA kwani ulivyo ni wazi wengi watakuona ila je UNA HAKIKA IPI KAMA UNAPENDWA KWA DHATI?
Zamani Mwanamke aliyetembea na wanaume watatu akibeba mimba WANAUME WANAGOMBEA MIMBA ILI WALEE ila leo Mwanaume ukimwambia umepitisha siku zako za hedhi ANASHITUKA BALAA unajua ni kwanini?
Wanawake mmerahisisha UPATIKANAJI WENU leo ili uone unapendwa eti mtu akujali kwa msg ama akupigie haiwi hivyoooooo⛔
Nikwambie kweli;
• MARINGO NAYO HUMFANYA MWANAUME ASHITUKE USIJE MMBWAGA📌
Hebu jipeni THAMANI wenyewe muone ilivyo rahisi kupata MUME BORA kwani wanaume BORA ndo wengi kuliko hawa walelewaji, Maana hizi tabia za Mwanaume kulelewa mmezisababisha wenyewe kwa kujifanya MNACHOHITAJI NI UPENDO WA DHATI PEKE YAKE mambo ya matunzo mnajimudu shenzi kabisaaaaa😂
Kuna raha ipi kuitwa Mwanamke na unajihudumia Mwenyewe?
Watafute wanawake waliopata wanaume sahihi ujionee ilivyo raha kusema UNAPENDWA kwa gharama za Mwanaume wala sio wewe kuyalinda MAPENDO kwa pesa zako📣
#Elista_kasema_ila_Sio_sheria 🔨

Post a Comment