WANAWAKE AMKENI!! SASA ACHENI KUDATE NA MWANAUME AMBAYE YUKO HIVI

Hakuna kitu ambacho kinanishangaza na kuniuma pale ninapoona mwanaume ambae amemuoa au ana-date na mwanamke ambae ni potential, resourceful na ana akili ya maisha lakini mwanaume huyo yupo yupo tu hajielewi anataka nini!
Ujinga gani huu!!!
Black brothers wengi wameoa au wana-date na wanawake wazuri, watafutaji, wenye akili na wenye msimamo thabiti lakini masikini ni bahati mbaya kwao kwani wanaume zao hawajielewi na wapowapo tu, hawajui ni namna gani watanufaika na hao wanawake zao! Unakosa mengi mazuri!
Kila muda napopata wasaa wa kulifahamu hili hua najiuliza swali hili....
"My black bro, kwanini unanunua Iphone 7, wakati hauwezi kuitumia na kuihudumia? Goosh! Muachie basi black bro mwenye uwezo achukue hiyo Iphone 7, wewe tafuta tecno labda ndio itakayo kufaa...
Ukutane na black bro anaejielewa, hafanyi makosa!!! hamuachi mwanamke wa aina hii kindezi ndezi, anavalisha pete yeye, peleka kufunga ndoa na kumuweka nyumbani kwake...
Ukweli mchungu ni kwamba; tambua akili na uwezo alionao mwanamke wako ama sivyo kama wewe ni slow learner muache basi ampate mwanaume mwingine atakaetambua uwezo alio nao kuliko kuzidi kumpotezea muda.```✋🏻


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post