*```1. Kwenye mshituko;```*
Mwanaume hushituka halafu huangalia nini kimemshitua, mwanamke hushituka halafu huzimia hivyo ataambiwa na mwanaume kilichomshitua😂 😂
*```2. Kwenye kupenda;```*
Mwanaume huanza kutamani alafu hupenda, mwanamke huanza kupenda moja kwa moja bila kumjua vizuri huyo ampendae😂 😂 😂😂😂

*```3.Kwenye kusaidia;```*
Mwanaume hutoa msaada alafu uhuzunika, mwanamke huuzunika badae ndo anakumbuka km msaada unahitajika 😂 😂

*```4.Kwenye maamuzi;```*
Mwanaume hufikiri ndipo hutenda, mwanamke hutenda halafu hufikiri 😂
😂 😂

*```5.Kwenye kudanganya;```*
Mwanaume hudanganya ili kumlinda mwanamke, mwanamke hudanganya ili kumkomoa mwanaume 😂 😂 😂

*```6.Kwenye ugomvi;```*
Wanaume hupigana halafu hueshimiana, wanawake hupiga mikelele alafu kila mmoja hurud kwake, ```kesho tena``` 😂 😂 😂

*```7.Kwenye ndoa;```*
Mwanaume hutafuta maixha ndipo huoa, mwanamke huolewa ndipo atafute maisha😂 😂 😂

*```8.Kwenye kukata tamaa;```*
Mwanaume hukata tamaa mapema ili jambo lisimsumbue, mwanamke hajui kukata tamaa hadi aumizwe
😂 😂 😂

*```9.Kwenye kula;```*
Mwanaume hushiba alafu huanza madoido, mwanamke huanza na madoido alafu badae hujilaumu hakushiba 😳😳🙈🙈🙈🙈

*```10.Kwenye siri;```*
Mwanaume hutunza siri hasa za aibu, mwanamke humueleza shoga yake badae hugombana nae baada ya kumrudia mwenyewe kwa siku 2 tu😂 😂 😂

*Hizi ni baadhi tu ya sifa tofauti kati ya mwanaume na mwanamke, ila zipo nyingi...*
Post a Comment