Unaweza kuwa na pesa na kilaunacho tamani kuwanacho, lakini usipokua na furaha na mpenzi wako, vyote huwa na chachu ndani yake.

Unaweza kuwa na pesa na kilaunacho tamani kuwanacho, lakini usipokua na furaha na mpenzi wako, vyote huwa na chachu ndani yake.
Upendo kutoka kwa mpenzi wako huvikamilisha vyote hatakama havipo huviona vipo.
Wako watu baadhi ambao walifikiri kupata waume wenye majihela kutawapa amani, kutawapa nafuraha, kwakuwa watakuwa na uwezo wakununua chochote wanachotaka na kwenda popote wanapo taka.
Kuwana wanaweza kuwa na magari yoyote, kwa garama yoyote wanayo taka, lakini pamoja navyote kuwepo, wakiingia kwenye magari hayo hayo, au kwenye nyumba hizo hizo, wakifunga milango wanavuja machozi kwakuwa bado lipopengo ndani ya vyote walivyonavyo.
Pamoja na mwanaume kumpa vyote lakini hakumpa muda wake.
Lakini hakumpa moyo wake.
Lakini hakumpa nafasi yake kama mke.
Lakini haku lilinda penzi lao wala kuthamini kitanda cha ndoa yao. "Nibora unywe chai na karoti kwenye nyumba ya udongo lakini ukwa na furaha na amani namasikilizano na mwenzako, kuliko kula kuku kwenye nyumba ya vioo"
#m.mauki #mbabewausafi


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post