Unaweza kufuta number ya mtu ili usimkumbuke au ukae mbali na yeye ili usiwaze chochote kuhusu yeye.
Lakn moyo wako ukawa unamkumbuka na unataman hata itokee muujiza akupigie simu tu uiache inahita na usipokee ili ujifariji moyo wako.
Kuna time unajikuta unakataa kitu ambacho unakitamani au unakipenda kwa sababu ya maamuzi ya haraka pindi ukiwa na hasira.
Unapokuwa na hasira jitahidi sana kujicontrol
Ili usije ukafanya jambo ambalo litakupa mateso ya muda mrefu kwa maamuzi ya dakika moja.
Ili usije ukafanya jambo ambalo litakupa mateso ya muda mrefu kwa maamuzi ya dakika moja.
Unaweza ukawa unajiuliza sana maswali mengi ni wewe tu Yanakukuta hayo unayopitia?
Una sura nzuri,una mwili mzuri, ni mtu mwenye akili lakini unakuwa mtu usiye weza kukaa na watu kwa muda mrefu si kwenye mapenzi/sio urafiki/si ndugu,kazini nk?
Kuna wakati unajiona kama mtu mwenye laana kubwa na nuksi maishani mwako.
Lakini kuna wakati unaona huenda kosa lako ni dogo ila likakupa adhabu kubwa?
Unajua ulimi ni kiungo kidogo kinachoponza watu wengi sana kwenye maisha yetu?
Unajua ulimi ni kiungo kidogo kinachoponza watu wengi sana kwenye maisha yetu?
Unaweza kukuta mtu anapenda kuongea maneno mengi makali na yasiyo kweli juu yako
Lakni hajui maneno anayotoa kinywani mwake yana moto mkali kiasi gani pindi yakimfika mtu mwengine.
Lakni hajui maneno anayotoa kinywani mwake yana moto mkali kiasi gani pindi yakimfika mtu mwengine.
Jifunze kupoza maneno yako yanaweza kuwa sababu ya watu kuwa mbali na wewe japo una vitu vingi vizuri wanavyo vihitaji kwako ila ulimi wako unawafanya wasione thamani ya hivyo vyote.
Usiwe mto unaotenganisha watu wanaohitaji msaada wako wa aina yoyote unayoweza kuwapa bali jifunze kuwa daraja la kuwaunganisha ili uokoe nafsi na roho zinazoangamia.
Post a Comment