UKIONA MWANAUME ANATABIA AU ANAFANYA MAMBO HAYA LAZIMA UWE NA MASHAKA NAYE

Mwanaume ukifanya aya mambo bana...

Doctor-Love - SOMA JAPO NI NDEFU HUWENDA UKAJIFUNZA ...
1:Mwanaume kusonya, huwa nashangaa sana nikimuona mwanaume mwenzangu anasonya au anaandika mxeuuuuw napata mashaka naye sana
2: Mwanaume kumsalimia mwanaume mwenzako mambo au kusema "Hi" mwanaume aliyekamilika hawezi akasema " Hi" hii ni salamu ya kike au labda mwanaume kumsalimia mwanamke lakini sio dume kwa dume unakuwa unazingua kichizi
3:mwanaume kuandika maneno kama ,thatha ,thawa ,tyu,poyeee hii ni dalili ya upunga
4: mwanaume kucheka huh huh huh,huu ni uboya uliopitiliza wanaume tunacheka hah hah hah hiyo huh huh huh waachieni akina dada
5:mwanaume kutumia Id ya kike humu Facebook huko ni kujifunza ushogaaa kwa kuwa utataka ukomenti kikike kike pia utataka kujifunza kutoa majibu ya kike watu wakikufata kukutongoza DM,
Madhara yake yanakuja pale unapokuwa addicted na koment zako za kike mwisho wa siku utakuwa unakomenti kikike kike hata whatsapp na huo ndio mwanzo wa ushogaa sasa
6:mwanaume kuandika" buana" huu pia ni ujinga uliopitiliza
7:mwanaume kutumia maneno kama" nitakuchamba" au " nitakusuta" huu ni ulofa wanaume tunatumia neno "kuchana" na sio hayo mengine
8: mwanaume kutumia emoji ya kukutanisha kidole cha kati na kidole gumba kama wale wa taarabu au wamama wa uswahilini wakipeana makavu pia ni ulofa uliopitiliza
9:mwanaume kuvaa kipuri na cheni ni dalili ya upunga hiyo
10:mwanaume kuandika "uuuuuwi" ni ujinga huo na dalili ya upunga
11: mwanaume kuandika , " nambie my" " mambo vipi wangu"hizi ni dalili za mchicha mwiba hizo
Ukiona wewe unafanya kati ya hayo niliyoyataja badilika haraka la sivyo tutakuhesabia na wewe punga


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post