Uhuru Wa Nafsi Ni Bora Zaidi Kuliko Mahala Penye Pesa Ila Dharau Na Manyanyaso Mengi Kupita Kiasi-
jikubali Na Jitunze Ulivyo Ndivyo Mungu Alivyo Kuumba-
kama Kuna Anae Kudharau Kwa Ulivyo Basi Jua Yupo Anae Kuheshimu Vile Vile Tokana Na Ulivyo
-kama Yupo Alie Kutupa Na Kuku Umiza Kwa Jinsi Ulivyo Basi Amin Yupo Atakae kuokota Na Kukuheshimu Daima Kwa Jinsi Ulivyo-
Usitake kufanana nao
Usitakae kuwa yeye,bali baki kuwa wewe
Usitakae kuwa yeye,bali baki kuwa wewe
Post a Comment