SI KILA KUCHEPUKA KWA MWANAMKE NI UMALAYA, WENGINE WAMEKOSA MAHABA YA NDANI..

SI KILA KUCHEPUKA KWA MWANAMKE NI UMALAYA, WENGINE WAMEKOSA MAHABA YA NDANI..
Mwanamke anapotumia muda wake mwingi akiwa peke yake nyumbani huku mumewe akimpuuza na kutompa muda wake mwingi, hujikuta kwamba maisha yake yakikosa maana.
Hapo anaweza kufikiria kuwa na mwanaume ambaye anaziba pengo hilo na kufanya usaliti.
WANAWAKE!!!
Sauti hiyo veeepe au niongeze kidogo?
WANAUME JE!
Nipunguze sauti au?


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post