#Nimeitoasehemu Kwako #MKE, Fanya siku moja umwangalie mumeo usoni akiwa amelala, halafu kaa na utafakari, Jiulize maswali Haya???

#Nimeitoasehemu
Kwako #MKE,
Fanya siku moja umwangalie mumeo usoni akiwa amelala, halafu kaa na utafakari, Jiulize maswali???
Huyu ndie #mumewangu aliyenifanya niwaache wazazi wangu kwa ajili yake. Sina uhusiano naye wa damu ila amekuwa mshirika wangu, mpenzi wangu, faraja yangu kuliko ndugu wa damu kwa sababu tunachanganya pamoja kila kitu sio damu tu.
-kwanini nisimpende
-kwanini nisimthamini
-kwanini nisimjali
-kwanini nisimsikize
-kwanini nisiwe chini yake
-kwanini nisimfunilie moyo wangu.
Mumeo ni mtu muhimu sana katika maisha yako hata ukifanya dhambi mola ataenda kumuuliza na yeye pia.
Siku moja akirudi kutoka kazini mkumbatie kwa hubba mshike mkono wake na umbusu huo ndio mkono unaohangaika kufanya kazi ili muishi, mshibe, mvae, msiazirike. Amekuwa sehemu ya maisha yako, amekuwa kama pande la nyama katika mwili wako, mara nyengine anawanyima ndugu zake wa damu ili akupe wewe. Huyo ndio #MUMEO
KUMBUKA: UKIMKOPESHA MAHABBA ATAKULIPA MAWADDA.Image may contain: 1 person, close-up


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post