Mwanaume Fahamu jambo hili; • MWANAMKE HATAWEZA KUKUFANYA UWE NA HAKIKA YA MALENGO YAKO ILA MWANAMKE HUYO ATAKUPA NGUVU YA KUTIMIZA MALENGO YAKO💯


Kumeibuka kundi la Wanaume wanao amini MAFANIKIO YAO YATATOKANA NA MWANAMKE kitu ambacho ni UPUMBAVU na kujitwisha laana zisizo kuwa na sababu, Hata vitabu vya DINI vimetanabaisha kuhusu majukumu yetu kama BIN ADAM kwamba;
1. MWANAMKE ATAZAA KWA UCHUNGU.
2. MWANAUME ATAKULA KWA JASHO.
Wewe ni nani hata upingane na MAANDIKO MATAKATIFU🤔
Mwanamke mkono wake haujabarikiwa kutoa pesa kwa Mwanaume ndo maana halisi ya Mwanaume kutoweza kutimiza MALENGO yake kutoka kwa Mwanamke.
Hata kama Mwanamke ni mkeo halafu anao uwezo kuliko wewe UTABAKIA KUWA MSIMAMIZI TU WA MAFANIKIO YA MWANAMKE WAKO na siku PENZI likibuma ukipewa kikubwa ni zile nguo ambazo zilikuwa hazikupendezi ndo utaondoka nazo😂😂
Wewe utaanza ZERO na hapo ndipo utanielewa kwanini nakusisitiza KUJITEGEMEA KI UCHUMI KABLA YA KUWAZA MKE💯
Dhamana ya HESHIMA APATAYO MWANAUME ASOKUWA NA PESA KWA MWANAMKE MWENYE PESA NI STAREHE UMPAYO na yakiisha hayo ya kitandani unaweza kuwa na nafasi ya mwisho kama ALIKUZOEA na hilo likiisha WALLAH wewe ni kama PAKA ASOSHIKA PANYA UTAFUKUZWA ISIAMINI🔊
Mwanamke hawezi kuwa sababu ya kutimiza MALENGO YAKO
Fahamu wazi MWANAMKE anapashwa kukupa NGUVU ðŸ’ª ili uweze kupambana na kutimiza MALENGO yako na hiyo ndo maana halisi ya MKE💯
Narudi tena;
• MKONO WA MWANAMKE HAUNA BARAKA YA KUMPA MWANAUME PESA YA MAFANIKIO.
Wanaume wengi waliojibanza migongoni mwa wake zao kisa wana pesa hao ni kama PANYA BUKU ðŸ˜‚😂
Wanawake wana akili sana ndo maana hata akupendeje kama pesa ni zake MALI ZOTE ZITAANDIKWA JINA LAKE sasa hapo mzee baba unataka urithi MKEO akiaga dunia? Mwanaume funguka akili acha kutumika kwa Mwanamke, Mwisho wako hauwezi kuwa mzuri zaidi hata watoto wako wanaweza kukufedhehesha.
Ndugu zangu CORONA IPO tujihadhari📣
👆
#Elista_kasema_ila_Sio_sheria ðŸ”¨


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post