MAPENZI YA DHATI. NI YAPI??


  Mapenzi ya dhati ni yapi?
  • Mapenzi ya dhati ni yapi?Mapenzi ya dhati ni yale ya kutoka moyoni,mapenzi ya dhati hayaangalii sura,umboelimu,elimu ni mwanga wako waki maisha,elimu yako ni vyeti vyako havihusiani kabisa na mapenzi,umriumri, ni namba tu kila mmoja ana namba zake,kuna mwenye namba kubwa na mwenye namba ndogo,wewe angalia ndani yakr je/ amekupenda kwa dhati.
  • Pesa.pesa zipo na zita endeea kuwepo hapa duniani,zikizunguka kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine,kama mtakuwa pamoja mtawezakuzitafuta na kuzipata,pesa isiwe kigezo cha kumuacha mwenzako aliye kependa kwa dhati.
  • Ukiwa mtu wa kuangalia hivi vitu vitatu kwa mpenzi unayemtaka basi usiwe na shida uta mpta mapema sana,ila jua hutakuwa na amani,furaha na upendo ndani ya yako,utnyanyasika sana,atakutesa kukutokana nakile alicho nacho.,funguka akili yako,funguka fikra zako,funguka mawazo yako,angalia furaha ya moyo wako,anglia amani ya moyo wako,angalia upendo wa moyo wako,mpe moyo wako usiangalie ndugu wana semaje?,usiangalie rafiki wana semaje?,maamuuzi yote unayo wewe mwenyewe.


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post