MAMBO MANNE YA KUFANYA BAADA YA KUMALIZA KUFANYA TENDO LA NDOA



Labda kwa wale wasiofahamu niwaambie tu kwamba dhana ya mapenzi ni dhana yenye wigo mpana sana na ndiyo maana hutasikia hata siku moja tumepumzika kuizungumzia*
⤵⤵⤵ Hata hivyo,tunachofanya Sikh zote ni kukimbushana kwa Yale tunayaoyafahamu na kushauriana kwa pale tunapohisi wengi hufanya makosa.baada ya kusema hayo sasa nigeukie mada y ambayo yahawahusu wanandoa ,nazungumzia wanandoa wanatakiwa kuyafanya Mara baada kumaliza KUFANYA tendon LA ndoa

1) *Baada ya kubaini kuwa wengi wamekuwa wakifanya makosa na kujikuta  wakishamaliza kufanya tendo hilo ,kila mmoja anageukia kwake kisha kuuchapa usingizi.wacha nkujuze haya nitayoyaeleza ila yakifanywa huwa na manufaa yake na yataboresha ndoa yenu..........⤵⤵⤵ 2) Kuoga pamoja mtakuwa ni watu wa ajabu kama mtamaliza kufanya tendo hilo kisha kila mmoja kalala na majasho yake.wapo wasiojali katka hili na kuona kuoga au kutooga ni uamuzi qa mtu,elewa kwamba hii si tabia nzuri na dini pia hairuhusu kukaa na josho ,wapo wanawake ambao wakishamaliza hukimbilia kuwaandalia maji wenza wao ,wakisha ndio nawo huenda kuoga ,hii so tabia nzuri haswa watakiwa uoge na mwenzi wako hiyo ndio raha ya ndoa* 
Wanaofanya hivyo wanajua raha yake na wewe ambaye hujawahi anza Leo,uone raha yake...... ```Mkimaliza mambo yenu chukuaneni kimahabba ,elekeeni bafuni kisha ogeshaneni kimahabba .Baada hapo rudini chumbani,mkishijfuta  maji ,kitandani nkiwa wapesi ,halaf muanze kusifiana  kubembelezana.```


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post