Jambo la muhimu na lenye tija ambalo mwanamke wako anaweza kukupa sio mwili wake. Jambo la muhimu mwanamke analoweza kufanya kwa ajili yako ni kupiga magoti na kukuombea ili uzidi kufanikiwa.
Kwa Dunia ya sasa iliyojaa ufedhuli na ufuska wa kila aina unaweza ukapata mwili wa mwanamke popote pale, lakini mwanamke anaekuombea ni nadra sana kupatikana kizembe, thamani yake ni kubwa mno isiyofananishwa na chochote.
Kaka yangu mpendwa, muombe Mungu akupatie mke mwema ambaye atapiga goti kusali kuanzia hapa dunia mpaka kesho Mbinguni.
Muwe na ijumaa njema.
ITUNZE NDOA YAKO whatsApp group 0717 442 212.
Au bonyeza link hapo chini ikupeleke moja kwa moja kwenye whatsApp inbox yangu
👇👇👇
👇👇👇
Share
Like Page
Post a Comment