ILI MWANAUME AWE NA HAKIKA YA UPENDO KWA MWANAMKE MWINGINE BAADA YA KUACHANA NA MZAZI MWENZIE NI PAMOJA NA KUISHI NA WATOTO WAKE💯


Mara nyingi wazazi husingizia watoto pindi wanapokuwa wameingia migogoro na pengine hata kutengana, Kawaida ya Mtoto ni kubakia na Mama kama wazazi wakitengana ama kuachana kabisa, Na kwa vyovyote vile MWANAMKE NDIYE MWENYE DHAMANA YA MALEZI YA MTOTO wakati huo huo Baba analo jukumu la kutimiza mahitaji ya Mtoto wake.
Ujinga wa wazazi ni huu;
• KUAMINI KUPITIA MTOTO KWAMBA BILA MTOTO KUSINGEKUWA NA MAWASILIANO HUKU WAKISAHAU UPENDO ULITANGULIA KABLA YA MTOTO/WATOTO📌
Mwanaume makini hawezi kukubari mtoto wake abakie na Mwanamke aliyeamini HAWAWEZI kuwa pamoja nae tena japo Mwanamke huyo ni Mama mzazi wa mtoto.
Ndo maana nikasema ili Mwanaume awe na hakika ya UPENDO WA DHATI kwa Mwanamke mwingine lazima asiwasiliane na Mwanamke aliyezaa nae na njia PEKEE ya kuyalinda mahusiano ama ndoa yake mpya ni kubakia na mtoto/watoto wake💯
Kinyume cha hapo WANAUME HAWAWEZI KUTOSHIRIKI TENDO LA NDOA NA WAZAZI WENZAO kwani DHAMANA ya pendo hilo ni MTOTO/WATOTO.
Wanaume wanatabia ya KUKUMBUSHIA MAPENZI YALOPOA hivyo usimwamini Mwanaume mwenye Mtoto ama watoto etii ANAKUPENDA huku watoto wapo kwa mama yao
MTALAKA MZURI KWA MWANAUME NI MWANAMKE AMBAYE HAKUZAA NAE ila kama amezaa nae huwa wanaamini bado ni Mwanamke wake na hata kama ameolewa siku akimtaka wala hamtongozi ni kuita kwa kigezo cha mtoto😂
#Elista_kasema_ila_sio_sheria 🔨


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post