HIVI UNAJUA KUNA WATU WANAWASILIANA NA WAPENZI WAO KILA SIKU NA WAKO KWENYE MAHUSIANO ILA MAPENZI KATI YAO YALISHAKUFA SIKU NYINGI

Kuna watu wanawasiliana na wapenz wao kila siku ya MUNGU lakini mapenzi yalishakufa zamani sana...yaaani wamebakiza chatting tu!!wengi wanajua kujibu text za wapenzi wao...sio kuelewa kujibu text!....jifunze kueelewa mawasiliano yako sio ku reply..ukijua kuelewa maswasiliano yenu kwenye mahusiano unaweza gundua kumbe unachat na mtu ambaye alishaakuua moyoni mwake tangu mwaka mmoja uliopita!!wengi wanadumu tu kwenye mahusiano yao sababu hawajui kuwa wanajibu text sio kuelewa text wanazotumiwa...#unaweza usielewe hili somo #niulizenikujuze
Counsellor


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post