ELEWA Kisicho weza kukuangamiza basi kinakufanya uwe Imara..

ELEWA
Kisicho weza kukuangamiza basi kinakufanya uwe Imara..Hivyo usiogope CHANGA MOTO za aina yoyote ktk.maisha . Usiogope
Kusemwa
Kudharauliwa
Kusalitiwa
Kutapeliwa
Kupigwa vita ili uanguke
Maana kuna watu wao wanacho weza ni kuwasema vibaya na kuwachafua wenzao ili wao ndo waonekane bora
Ili ndoto yako itumie unahitaj mtu 1 pekee ili itimie,hivyo muheshim kila unae kutana nae ktk maisha maana hujui aliye na ufunguo wa maisha yako
Ogopa sana kusifiwa kwa kila unacho fanya badala yake jiulize na jichunguze wapi unakosea. Wapo wanao ogopa kukukosoa kwa sababu kuna namna wananufaika kwako,au wanapenda tu upotee
Lakin ukiona unakosolewa basi tambua una uwezo wa kujenga hoja na kuna jambo zuri unafanya ila hawapendi.


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post